Tuwe waaminifu kwa wapenzi wetu.

Tuwe waaminifu kwa wapenzi wetu.

mkaskaz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
606
Reaction score
865
Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini?

Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee
 
Attachments

  • Screenshot_20240916_105115_Messages.jpg
    Screenshot_20240916_105115_Messages.jpg
    348.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240916_105115_Messages.jpg
    Screenshot_20240916_105115_Messages.jpg
    348.1 KB · Views: 3
Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini?

Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee
Mkuu huo sio ujanja au kua mwenye baraka, kasha kuona we kiazi kitupu mawasiliano ya nyie wawili unayaleta je public.........a gentleman does not kiss en tell
 
Mkuu naona umekwepa Gono sugu, maana siku hzi hata Azuma zishagonga mwamba 😀😀😀😀😀
Umesema kweli.l ndugu. Mwezi wa nne niliugua gono ÷ uti sugu. Nilimeza dawa zote na masindano juu. Hapo hujaweka hofu ya ngoma dadeeki. Yaani nahisi nilipata ngoma ila Mungu akachomoa nyaya mwenyewe nikatest negative.

Mwaka huu pekee nimepima hiv mara tano.
 
Back
Top Bottom