Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito Kabwe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15.
Msigwa kawa Mbunge Iringa City miaka kumi au zaidi, hiyo ni privilege hata wabunge wa CCM ni wachache sana waliokaa Jimboni muda mrefu hivyo, hivyo ni sawa kuondolewa na kupisha wengine, hata CCM kwenye kura ya maoni waliondoa wale Wabunge wa siku nyingi na kuweka damu kama akina Kimei, Kitila, & Co.