Tuwe wakweli hapa, Wabunge wa CHADEMA wamekaa zaidi ya miaka 10 Bungeni!

Tuwe wakweli hapa, Wabunge wa CHADEMA wamekaa zaidi ya miaka 10 Bungeni!

Hoja hafifu Sana..
Tukisema hivyo Basi hata wabunge wa chama tawala waliokaa bungen zaid ya miaka kumi hawakutakiwa kugombea Tena mwaka huu..
 
Si mlitaka mbaki wenyewe! Done sasa subirini kusema ndio kila uchwao kwa order za mfalme hata kama sio sahihi
 
Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito Kabwe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15.

Msigwa kawa Mbunge Iringa City miaka kumi au zaidi, hiyo ni privilege hata wabunge wa CCM ni wachache sana waliokaa Jimboni muda mrefu hivyo, hivyo ni sawa kuondolewa na kupisha wengine, hata CCM kwenye kura ya maoni waliondoa wale Wabunge wa siku nyingi na kuweka damu kama akina Kimei, Kitila, & Co.
CCM tumekaa zaidi ya miaka 50
 
Back
Top Bottom