Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

Tuwe waaminifu,tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi.

Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote nyama ni ileile sio kweli..nyama ni tofauti.

Nakumbuka Sophia alinionya nisimtongoze mate wake,kila nikimuuliza sababu hataki kusema. Siku moja akanitolea uvivu akaniambia Aisha ni mtamu sana,ameshavunja ndoa nyingi tu kwa sababu ya utamu wake. Akasema akikupa penzi huwezi kudhubutu kumuacha.

Ukimwi upo kazini wakuu tuache uzinzi
kwel, kuna dada sura mbovu anaolewa utamu wake hakuna
 
Yaan watu hawaogop kuna Mungu kabisa zinaa imekuw fashion wanaume wanajipa sifa kulala na wanawake wengi wa kila tofauti... kwel kwa Mungu tutalia nakusaga meno
Rotten generation
 
Eheee...

Kunatofauti kati ya muhogo wa kuchoma,kuchemsha,kukaanga,kuoka..na kuendelea.

Sasa hebu nikuulize,,hiyo mihogo niliyoitaja [emoji115]inafanana ladha!
Hapana haifanani radha hata siku moja!
 
We utakuw wakwanza umeingia uku kufanya
Yaan watu hawaogop kuna Mungu kabisa zinaa imekuw fashion wanaume wanajipa sifa kulala na wanawake wengi wa kila tofauti... kwel kwa Mungu tutalia nakusaga meno
Nin kama sio mwanachama wa Aya mambo
 
Nimefurahishwa na comments za weekend, talking about goodies!

Nauliza tu, kuna uhusiano gani kati utamu na sura? Maana wengi wenye sura za wajomba zao ni watamu balaa, wale wenye sura za apple wanaofurahisha macho huko kwingine Mungu anajua.
Kwakweli mkuu hata mimi sijajua ni kwanini mademu wengi wazuri hua ni tasteless kabisa. Sijui ni kwavile hua wanatumika sana? Au wengi unakuta walianza michezo hii tangu praimari kwahiyo ni kama wameshaota sugu huko chini? Au pia inawezekana ni kwavile mademu wengi wazuri kitandani hua ni magogo?
 
Wahuni wa JF watakwambia hebu tuwekee kapicha ka mama zakaria na wengine wakiomba namba yake nao wakaonje 😜😜
Hii weekend imeanza kivingine kabsa
Nimecheka at the same time nasoma comments zilizopo mbavu sina..
Ni week ya Wanawake huku ya faragha pande ile rangi
🤣🤐
 
Hivi papuchi ikipakwa asali ndo inakuwwa tamu zaidi?
 
Back
Top Bottom