Tuwe wakweli! Mchina alishawahi kutoa msaada gani kwa nchi za kiafrica zaidi ya kutuuzia vitu vyenye ubora feki!

Yaani unaona kabisa kusaidiwa na watu wa nje ni kama haki yako hivi huko kichwani kuna funza au ?
 
Kwa hiyo wewe unapenda sana kusaidiwa badala ya kujitegemea!..jinga sana
 
Kwa hiyo Samsung ni mzungu ? Wewe ni bogus kabisa
South korea ni nchi yenye mrengo wa Magharibi! Ni nchi kiuchumi ni mzungu kakaa pale! Wewe ndo hujielewi
 
Japan, korea mifumo yao kibiashara ya magharibi
 
Japan, korea mifumo yao kibiashara ya magharibi
Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.
 
Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.
Wee mavi! Mxiuuuh!
 
-Matajiri wa kariakoo wanaOPT china kwa sababu ndio sehemu ya kupata vitu vilivyo bei chini na ni chini ya biashara.
-Kuhusu Ujenzi wa bandari, madaraja, barabara wachina wanapata tenda kwa sababu wana- quote kwa bei ndogo sana compared to Wazungu ambao wana-quote kwa bei kubwa and eventually wanatengeneza barabara chini ya kiwango kwa sababu bei ndogo.
- Wachina wengi wanalipa mishahara midogo sana, kwenye taasisi zao za kazi (unyonyaji wa kiwango kikubwa) compared to Wazungu wengi wao wanalipa vizuri, ulizia vibarua watakwambia kati ya mchina na mzungu nani ana heshimu sheria za kazi.
-
 
Wanafunzi wengi sana wa Africa wanapata elimu china kupitia China Scholleeship Council .. Tanzania ni mmoja ya waifaidika
 
Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.
Japan muondoe Japan ameanzisha hadi shirika LA mashirikiano LA kimataifa LA Jaica- Japan international cooperation agency, linatoa misaada kwenye various spheres hadi kwenye customs kule tra.
Korea nao hivyo hivyo wana Koica Yao inasaidia
China ina shirika gani hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…