Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
- Thread starter
- #21
SamsungTV gani hiyo ya wazungu? Hebu tuelimishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SamsungTV gani hiyo ya wazungu? Hebu tuelimishe
Kwa hiyo Samsung ni mzungu ? Wewe ni bogus kabisaSamsung
Samsung
Kwa hiyo wewe unapenda sana kusaidiwa badala ya kujitegemea!..jinga sanaBaada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!"
Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na kushindwa kurejesha zimejikuta zikinyang’anywa mali zao, kama ilivyotokea Zambia na Kenya, ambapo viwanja vyao vya ndege vimechukuliwa na kumilikiwa na Mchina mpaka watakaporudisha senti yao ya mwisho.
Tanzania, kipindi cha Kikwete, tulikopa na kuweka rehani gesi yetu yooote ya Mtwara, na sasa inaenda China bure, huku sisi tukiendelea kupikia kuni na mkaa maana gesi haikamatiki kwa Watanzania wengi, hasa vijijini. Mchina aliuziwa Bandari ya Bagamoyo chini ya Kikwete na kupewa mkataba wa miaka 99 bila kulipa kodi kwa masharti dharimu kabisa—masharti ambayo Magufuli aliyakataa na kuupiga chini huo mradi.
Kwa ufupi, hakuna mashetani kwenye vita vya uchumi vya unyonyaji kama China. Bora mzungu, ana utu—siyo Mchina! Kwa hiyo, kama Mmarekani katuachia Mchina, basi tupambane naye! Twaafwaa!
South korea ni nchi yenye mrengo wa Magharibi! Ni nchi kiuchumi ni mzungu kakaa pale! Wewe ndo hujielewiKwa hiyo Samsung ni mzungu ? Wewe ni bogus kabisa
Ndio ni South Korea affiliated by westernYa mkorea hii
Korea ni wazungu?Samsung
Kwahiyo ni mchina?Korea ni wazungu?
Wewe ni mpumbavu maana ungelikuwa mjinga ungelikuwa na afadhaliSouth korea ni nchi yenye mrengo wa Magharibi! Ni nchi kiuchumi ni mzungu kakaa pale! Wewe ndo hujielewi
Ni wale wale East Asians hawana tofauti.Kwahiyo ni mchina?
Sijasema ni mchina, wewe umesema tv za wazungu, nimekuuliza ni zipi ukaanza kutaja za wakorea.Kwahiyo ni mchina?
Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.Japan, korea mifumo yao kibiashara ya magharibi
Wee mavi! Mxiuuuh!Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.
Binti una matatizo wewe kichwani.Wee mavi! Mxiuuuh!
-Matajiri wa kariakoo wanaOPT china kwa sababu ndio sehemu ya kupata vitu vilivyo bei chini na ni chini ya biashara.Huo ni mtazamo wako.
Kama unataka msaada kwa China utasubiri sana.
China ni partners,bila China hao matajiri wote wa kariakoo wasingekuwepo,Biashara nyingi zilizowatajirisha watu zisingekuwepo,watu walioajiriwa kwenye biashara hizo wasingekuwa na Kazi.
Bidhaa nyingi tunazozitumia zingekuwa zinazalishwa Marekani ni Wazi tusingeweza kumudu kuzimiliki!
Madaraja,Majengo,Bandari,Barabara,nk..Vingekuwa vinajengwa na wazungu basi Africa ingekuwa bado ipo nyuma sana kimaendeleo.
Kwa kweli Idumu China Ili tuendelee kuheshimiana hapa mjini.
Japan muondoe Japan ameanzisha hadi shirika LA mashirikiano LA kimataifa LA Jaica- Japan international cooperation agency, linatoa misaada kwenye various spheres hadi kwenye customs kule tra.Japan,Korea,China wote jamii moja and of course China ndie baba yao na ndie aliye influence culture zao kwa sehemu kubwa kukusaidia anza na kumsoma Confucian.