Tuwe wakweli Nillan anafanana na Ivan sio Diamond

Tuwe wakweli Nillan anafanana na Ivan sio Diamond

Ku comment hapa pia ni ishara ya ww kuwa na huo muda ....ni vile hujitambui tuu
Sina muda wa kuchunguza sura za watoto wasionihusu na kuwaanzishia thread. Kwanza huo ni unyanyapaa kwa watoto.

Nina muda wa ku comment kuhusu watu wanaochunguza sura za watoto wasiowahusu.

Umeelewa somo au unahitaji mafunzo ya ziada?
 
Sawa, hata mtoa mada, alikuwa anatimiza haki yake kikatiba.sema tunatofautiana namna ya kufikiri,kile kitu ambacho wewe unaona upuuzi,mwingine anaona cha maana,mfano mimi humu kuna jukwaa la watu/ mada zenye kuumiza sana ubongo "jamii intalijensi",mimi watu wa kule naonaga kama wana muda mchafu.lakini ndio wanaonekana wanajadili mambo ya maana.

Ndio tulivyoumbwa mkuu. Tupo tofauti.
Sio upuuzi tu.

Kuna hoja kwamba uzi huu unawanyanyapaa watoto wadogo ambao hawajafikisha umri wa miaka 18.

Hao mama zao na baba zao wameamua kuwa ma celebrity labda wazazi hao ni sawa kuwajadili mnavyotaka.

Lakini hawa watoto hawajafikia umri wa maamuzi, hawajaamua kuishi maisha hayo na ni watoto wadogo sana.

Hawa ni watoto kwenye familia zao, si picha tu za kufikirika.

Mnawanyanyapaa.
 
Sio upuuzi tu.

Kuna hoja kwamba uzi huubunawanyqnyapaa watoto wadogo ambao hawajafik8sha umri wa miaka 18.

Hao mamq zao na baba zao wamwamuq kuwa ma celebrity labda wazazi hao ninsawa kuwajdili mnavyotaka.

Lakini hawa watoto hawajafikia umri wa maamuzi na hawajaamua kuishi maisha hayo na ni watoto wadogo sana.

Hawa ni watoto kwenye familia zao, si picha tu za kufikirika.

Mnawanyanyapaa.
Nimekuelewa
 
Hii ndiyo karaha ya umaarufu

kila kitu kinajadiliwa mtandaon, hakuna muda wa kupumua

huku mtaani watoto wa kuveshwa ni wengi tu lakin hawajadiliwi ktk mitandao

tuwe binadamu kidogo, mtasababisha mfarakano ktk familia, nashauri uzi ufutwe
 
Haki za watoto zizingatiwe, unamwanikaje mtoto mitandaoni bila idhini ya wazazi wake tena kwa mambo ambayo mbeleni yanaweza kumdhuru kisaikolojia, mods futeni huu upuuzi.
Hizi picha kwani si ni familia yao ilishazianika kabla hata hazijapostiwa huku??
 
Sasa hapa watanzania mnashabikia nini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yule mtoto Ni wa diamond acheni zenu

Nakumbuka alipozaliwa tu walipoachia picha yake ya kwanza mdomo ulikuwa diamond kabisa Hadi Sasa

Pia anawezekana fanana na watoto wa zari kwa Ivan sababu wamechangia mama Hasa yule mtoto wa mwisho wa Ivan .



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom