Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona zari hawaachi hao watoto peke yao hata sekundeMbona anafanana na kwao. Vimiguu tu kwanza uthibitisho tosha bado kuna vingine wenyewe wanavijua. Unakuta wengine kucha tu zinatambulisha mtoto ni wao. Mama dangote asingekua anampenda nillan kama asingekua mjukuu wake.
Mbona zari hawaachi hao watoto peke yao hata sekunde
[emoji23][emoji23] binadamu tuna tofautiana sana mtoto wa mtu mwingine anakosesha raha raia mwingineKuna watu wana muda mchafu kweli.
Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani?
Labda kama kwenye familia yangu.
Inaeza kua kwel kafanana na Ivan ila nakataa kuamin kwa miaka yote hii na ukakasi uliokuwepo af simba na uhuni wake wote na ujanja hakuchukua DNA
Ku comment hapa pia ni ishara ya ww kuwa na huo muda ....ni vile hujitambui tuuKuna watu wana muda mchafu kweli.
Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani?
Labda kama kwenye familia yangu.
Mkuu ungechungulia tu halafu ungepita hivi[emoji117]..umechangia tena mada..maana yake nini?Kuna watu wana muda mchafu kweli.
Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani?
Labda kama kwenye familia yangu.
Haki za watoto zizingatiwe, unamwanikaje mtoto mitandaoni bila idhini ya wazazi wake tena kwa mambo ambayo mbeleni yanaweza kumdhuru kisaikolojia, mods futeni huu upuuzi.
Maana yake natimiza haki yangu ya kikatiba na naitendea haki hulka yangu ya kupitia hata mitaa ya Uwanja wa Fisi siku moja moja kukagua mazingira kama muandishi wa habari anayetaka kujua kona zote za mji wake.Mkuu ungechungulia tu halafu ungepita hivi[emoji117]..umechangia tena mada..maana yake nini?
AiseeUkute hata wewe baba yako ulisakiziwa
Sawa, hata mtoa mada, alikuwa anatimiza haki yake kikatiba.sema tunatofautiana namna ya kufikiri,kile kitu ambacho wewe unaona upuuzi,mwingine anaona cha maana,mfano mimi humu kuna jukwaa la watu/ mada zenye kuumiza sana ubongo "jamii intalijensi",mimi watu wa kule naonaga kama wana muda mchafu.lakini ndio wanaonekana wanajadili mambo ya maana.Maana yake natimiza haki yangu ya kikatiba na naitendea haki hulka yangu ya kupitia hata mitaa ya Uwanja wa Fisi siku moja moja kukagua mazingira kama muandishi wa habari anayetaka kujua kona zote za mji wake.
Katika Mambo ambayo hua siwez kufuatilia ni hizi Mambo