Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta picha ya bibi yake,mama mzazi wa Mond,utajua kafanana na nani.
Kama iliyotoa mbegu yako
Ukweli ndo huo.. Bila shaka Mondi yuko aware pia. Not his baby.
Wewe baba yako alikupima
Huyo mtoto alizaliwa akiwa Ivan bado yupo hai. Nisemwaloa lipo dogo kafanana na Ivan mtupu dai hapo hana chake ambane na wanae Daylan na Nasib Jr.Mkuu ni kweli kabisa.....
Kalia tu hayohayo ya DNA.Mlienda kuwapima DNA?
Hata Dylan sio wa kwake ni mtoto wa mwanamziki Jaquar wa Kenya, huyo Domo anajua na ndo mana mama yake Domo hamtaki Hamisa ila Domo anaona aibu kuweka waziHuyo mtoto alizaliwa akiwa Ivan bado yupo hai. Nisemwaloa lipo dogo kafanana na Ivan mtupu dai hapo hana chake ambane na wanae Daylan na Nasib Jr.
Kalia tu hayohayo ya DNA.
Utakuja bambikwa watoto.
Kama hata picha huoni.
Na watu kama mondi hii ndo dawa yao..
Mtoto wa Mondi mpaka sasa ni mmoja tu. Tiffah.
Mkenya kabambika likewise Mobetto.
DNA ya nini sasa [emoji1787][emoji1787][emoji851]Kiukweli hapo DNA ihusike tu maana sio kwa face hiyo
SimfahamuHabari yako mboso khan upo
Ilitakiwa hata hii mada usichangie kabisa....Kuna watu wana muda mchafu kweli.
Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani?
Labda kama kwenye familia yangu.
Hata mama anaweza pia asijue kwa uhakika muhusika ni yupi, ikiwa kama mama atakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume zaidi ya mmoja...Siri ya mtoto mama mtu ndio anajua!
h basi anajua hataDi mqenyeqe ukichunguza kwenye mapokezi alikuwa close sana na tif kuliko huyo mtoto wa kiume
Kwa mkeo unatumia kondomNdio maana mimi navaa condoms siku zote, usije kunipa kesi sio yangu kabisa. Mimi hizi mimba za bahati mbaya usiniletee maana niko makini sana