Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Utajiju lakini habari ndio hiyo, we jidai na mimedikol field yako,Hata mama anaweza asijue kwa uhakika muhusika, ikiwa kama mama atakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume zaidi ya mmoja... Maana siyo kila mwanaume anapokutana kimwili na mwanamke basi itasababisha kutungwa kwa Mimba... kuna factors nyingi za ku-consider katika mimba kutungwa.
Mfano, Mwanamke anaweza kukutana kimwili na Mwanaume "A" siku ya JUMATATU halafu mwanamke huyo ALHAMISI akakutana tena kimwili na Mwanaume "B".
Na kama mwanamke huyo akipata ujauzito hapo hawezi kujua ni wa mwanaume yupi je "A" au "B".
Watu waliopo katika Medical Fields watakuwa wameshanielewa namaanisha nini.
watu wana njia za asili za kutambua mtoto wake wa asili,
we endelea na certificate yako huko ya Mediko usitupasue kichwa sisi