Hata kenya angalau kuna weusi wanazo hela. Lakini na wao ni yaleyale.
1. Hofu ya kupinduana.
2. Kuendeleza mali ya urithi.
3. Connection na watu wazito.
4. Kampuni zingine ni za vigogo ila hao wahindi/waarabu wapo kama pambo/cover/barakoa.
Nchi za kiafrika ambazo zilikuwa na waarabu/wahindi wachache zilipitia majanga ya kupinduana na vita za wenyewe kwa wenyewe.
Mfano fatilia historia ya.
1. Nigeria (walipinduana mno)
2. Ghana
3. Msumbiji (Frelimo vs Renamo)
4. Angola
5. Sudan ya kusini (Salva kiir vs Riek machar)
6. Rwanda
7. Congo DRC
8. CAR
9. Liberia
10. Sierra Leone
Zipo nyingi mno. Hofu ya kupinduana na vita imeleta haya mambo. Maana mtu akipata hela anawapa pesa maluteni kanali au mabrigedia au magenerali kisha wanapindua uongozi. Au wanaanzisha kikundi cha waasi ili kuingia madarakani.
Sidhani kama ni kweli, kwani hata Kenya ni hivyo hivyo Uchumi wote na Makampuni makubwa ni ya Wahindi, na Kenya hawajawahi kuwa na ujamaa, ...
Kenya ina mabepari wakubwa weusi wengi sana ukianza na Kenyatta mwenyewe.
Mbona Nigeria kuna matajiri black wengi tu, vipi hii imekaaje???.Sijasema hakuna hata Tanzania kuna Mabepari wakubwa weusi pia, lkn ni wachache sana na hawana ushawishi mkubwa kwenye uchumi kama Wahindi, Wahindi wanamiliki sekta strategic karibia zote kuanzia Utalii hapa naongelea kuanzia kampuni kubwa za Utalii za safari mpaka beach hotels ni Wahindi, Media, Kampuni za kuzalisha cement, viwanda vya kutengeneza vitu vya matumizi ya kila siku, viwanda vya mafuta ya kula ni vya Wahindi hata Supermarkets zinazouza chakula ni Wahindi wanamiliki, ...
Ni kila sekta, hata Ujenzi Kampuni kubwa sasa hivi na inayoaminika ya Ujenzi ni Estim, ni ya Wahindi, hawa ndiyo wanaojenga majengo makubwa ya NHC & Co. , ...
Kwanza lazima ujue kuwa waarabu/wahindi wana asili ya kufanya biashara. Wao wamefanya toka karne ya 1 mpaka karne ya 7. Walikuwa wanafanya biashara na wanakuja na majahazi toka kwao kuja pwani ya sehemu mbali mbali afrika. Mpaka inafika karne ya 16 wapo wanafanya biashara na waafrika. Mpaka wakoloni wanakuja kutawala afrika mnamo karne ya 19 wamewakuta hao wapo. Maana yake wanauzoefu wa karne za kutosha kwenye biashara. Haya sasa turudi huku kwetu. Je ushasikia Chifu Mangungo au chifu wa kiafrika kwenye karne ya 15 mpaka 19 kaenda na jahazi kufanya biashara kwa waarabu au wahindi au wachina?Mfano nilifika Ghana, kule nako ni yale yale kuna Walebanoni ndiyo Wahindi wao, Uchumi wote uko chini ya Walebanoni, kusema kwamba Watanzania weusi ndiyo wanaomiliki Kampuni kubwa za Wahindi/ Waarabu kwa kujificha hilo sikubaliani nalo ila ninachojua wanakuwa na shea kidogo au hata wanapewa zawadi na Wahindi labda gari mpya au mtoto kusomeshwa nje halafu wanawapa Wahindi upendeleo, mfano akina Subash Patel ndivyo walivyotajirikia, lkn siyo kweli kwamba Waafrika weusi wanamiliki Kampuni za Wahindi ila wanatumiwa kuwapa Wahindi michongo ya Serikalini mfano Kiwanda kikibinafsishwa Wahindi wanaongea na wakubwa wanawapa zawadi wanapewa Kiwanda kwa bei ya kutupa, ...
Hiyo ni operesheni komesha waimba mapambio inaitwa.Tutafika tu lakini.Itabakia NSSF, tanesco, crdb, NMB labda na mwendo kasi, hata ubishi wa mpira utaisha Tanzania kwani bila ya Wahindi /Waarabu hakuna Simba, Yanga wala Azam I mean, sisi watu weusi inabidi tuamke kwa kweli, Idi Amini alifukuza Wahindi baadaye wakaenda kuwapiga magoti warudi, kuna jamaa (mweusi mwenzangu) alitaka kunipiga ngumi kisa nimemuongelea MO asivyotaka kusikia, nilitafakari nikakosa jibu, sasa hivi Tanzania hata Utalii bila ya kampuni za Wahindi hakuna kitu, BTW Wahindi Tanzania nzima ni < 200 000 sisi tuko zaidi ya milioni 45.
Heri ya Mwaka mpya 2021, ...
Broda china ipi umeenda ukakuta mlebanon anaendesha uchumi?Mfano nilifika Ghana, kule nako ni yale yale kuna Walebanoni ndiyo Wahindi wao, Uchumi wote uko chini ya Walebanoni, kusema kwamba Watanzania weusi ndiyo wanaomiliki Kampuni kubwa za Wahindi/ Waarabu kwa kujificha hilo sikubaliani nalo ila ninachojua wanakuwa na shea kidogo au hata wanapewa zawadi na Wahindi labda gari mpya au mtoto kusomeshwa nje halafu wanawapa Wahindi upendeleo, mfano akina Subash Patel ndivyo walivyotajirikia, lkn siyo kweli kwamba Waafrika weusi wanamiliki Kampuni za Wahindi ila wanatumiwa kuwapa Wahindi michongo ya Serikalini mfano Kiwanda kikibinafsishwa Wahindi wanaongea na wakubwa wanawapa zawadi wanapewa Kiwanda kwa bei ya kutupa, ...
Hiyo census iliyofanyaka basing to race ni nani amefanya?Ujue tuko > milioni 45, Wahindi hawafiki laki 2, ...
Hiyo census iliyofanyaka basing to race ni nani amefanya?
Nmekupata vyema.Data za Muhindi ziko recorded tangia Ukoloni, kwani ni nani alisema Wasukuma ndio kundi lenye watu wengi zaidi Tanzania ? Mnahesabiwa bila ya kujijua ulishawahi kujiuliza kwa nini unaulizwa kabila kwenye fomu za Serikali au hata Trafiki tu akikuandikia faini? Hata ukilala gesti unaulizwa kabila unajua ni kwa nini? Hii Muzungu pamoja na mengine aliweka kwa ajili ya statistics tukarithi kila kitu kama kilivyo na mpaka leo hii tunaandikishana na kuhesabiwa Makabila, unafikiri neno Watanzania wenye asili ya Asia limetokea wapi? Ni kwenye takwimu unapojaza kabila lako Muhindi anajaza mwenye asili ya Asia, ...
Sisi tunawalimia wao wanaprocess.Sijasema hakuna hata Tanzania kuna Mabepari wakubwa weusi pia, lkn ni wachache sana na hawana ushawishi mkubwa kwenye uchumi kama Wahindi, Wahindi wanamiliki sekta strategic karibia zote kuanzia Utalii hapa naongelea kuanzia kampuni kubwa za Utalii za safari mpaka beach hotels ni Wahindi, Media, Kampuni za kuzalisha cement, viwanda vya kutengeneza vitu vya matumizi ya kila siku, viwanda vya mafuta ya kula ni vya Wahindi hata Supermarkets zinazouza chakula ni Wahindi wanamiliki, ...