mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Mkuu viwanda gani hivyo vya cement na nondo vinavyomilikiwa na waswahili?Mkuu mbona unajidharau sana inamaana hujaona Vitego uchumi Vingi vilivyowekezwa sisi kama sisi Viwanda vya nondo, vya Cement, Hospital, Mabank, , Timu za mipira na uwekezaji mwengine we unaona wahindi na Waarabu tuu acha kuzungua mkuu
Suala sio IQ kuwa ndogo.Sisi tunawalimia wao wanaprocess.
Sasa hivi kuna ukuaji wa kilimo cha avocado, wadau wakubwa ni wahindi,wakenya na wachina sio mda mrefu wahindi na warabu wataingia.
Kuna siku nilikuwa na walimu Fulani tukijadili zao la mananasi,maembe kukosa soko, nikachangia kwa kusema kwa nin matajiri wa kitanzia wasijenge kiwanda cha juisi.Walinicheka kama hayawani, nikawa nashangaa kuwa kumbe nimeongea pumba.
Ukizungumzia mawazo tofauti na wabongo wengi utaonekana juha.
Umasikini wa watanzania upo vichwani, kila kiku kikubwa kwa mtanzania huqa hakiwezekani.
Watanzania hawakui kadiri ya teknolojia inavyokuwa.
Inawezekana waafrika wengi IQ ipo chini ya kiwango ingawa huwa tunabisha tukiambiwa uwezo wetu wa akili ni kidogo sana.
Mengi alipewa eneo gymkana baada ya malalamiko kwamba wahindi wanapendelewa, halafu akaamuzia muhindi (ilipo Serena hotelSuala sio IQ kuwa ndogo.
Ila sisi kwa sisi tunabaniana tu.
Mzee Mengi si alinyimwa kuendesha New Africa hotel?
Mhindi akijenga kiwanda kesho yake anapata vibali. Wewe ukitaka kujenga kiwanda utafurahi na roho yako.
Mimi simo kwenye hilo kundi[emoji30]
hahahahaSuala sio IQ kuwa ndogo.
Ila sisi kwa sisi tunabaniana tu.
Mzee Mengi si alinyimwa kuendesha New Africa hotel?
Mhindi akijenga kiwanda kesho yake anapata vibali. Wewe ukitaka kujenga kiwanda utafurahi na roho yako.
Kumbe?Mengi alipewa eneo gymkana baada ya malalamiko kwamba wahindi wanapendelewa, halafu akaamuzia muhindi (ilipo Serena hotel
😂Mengi alipewa eneo gymkana baada ya malalamiko kwamba wahindi wanapendelewa, halafu akaamuzia muhindi (ilipo Serena hotel
Mzee acha ubaguzi ni kama kula nyama za watu...Wewe wa kumnyoshea mkono Mo au bakhresa sio watanzania..hapo ukute we mwenyewe wa mipakani huko...marekani kwenyewe wanaoshika uchumi ni asilimia ndogo ya wayahudi....Fanya kaziNi kila sekta, hata Ujenzi Kampuni kubwa sasa hivi na inayoaminika ya Ujenzi ni Estim, ni ya Wahindi, hawa ndiyo wanaojenga majengo makubwa ya NHC & Co. , ...
Mzee acha ubaguzi ni kama kula nyama za watu...Wewe wa kumnyoshea mkono Mo au bakhresa sio watanzania..hapo ukute we mwenyewe wa mipakani huko...marekani kwenyewe wanaoshika uchumi ni asilimia ndogo ya wayahudi....Fanya kazi
Wake zao ni watulivu,so discipline,hata kichwa ya mzee inatulia,sisi unarudi home umechoka unaanza kupewa yaliyojiri mchana kazini kwake,nyumbani, kwa jirani,ya ukoo ubongo wetu haupumziki kabisa,pia ni wabahili sana,muhindi anabeba msosi wa mchana,au kama ni dukani wako family wanarudi home kupiga msosi.Huu ni ukweli usiopingika, uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na mhindi/mwarabu, awe mzawa au mgeni mhindi ni mhindi tu. Haiwezekani asilimia kubwa ya viwanda, makampuni viwe chini yao, wakiondolewa leo sijui nani hasa atakuwa na nguvu ya kuendesha uchumi.
Lake cement ni mhindiMkuu mbona unajidharau sana inamaana hujaona Vitego uchumi Vingi vilivyowekezwa sisi kama sisi Viwanda vya nondo, vya Cement, Hospital, Mabank, , Timu za mipira na uwekezaji mwengine we unaona wahindi na Waarabu tuu acha kuzungua mkuu
Duu hao wote uliowataja hawafikii kiwango Cha wahindi anaowazungumzia mtoa mada, mtu level ya patel ukamlinganishe na diamond kweli?Tafuta pesa,Mengi hakuwa Mhindi,
Laiser wa tanzanite sio muhindi,Diamond sio muhindi,Kusaga&Luge sio wahindi,
New africa hotel ni ya mbongo Tena hakufika hata la Saba,
Sahara media inayomiriki Star tv,sio ya Mhindi,
Acha fikra mfu,zichange akili,hakuna wa kukuonea huruma hapa duniani.
Nazingua nini sasa kiwanda cha Dangote ni mhindi tatizo si management mmiliki sio mhindi.Lake cement ni mhindi
Camel muhindi
Dangote management karibu yote ni wahindi
Rhino mwarabu
Kiwanda kipi cha cement au nondo kinamilikiwa na mtanzania ?
Ukweli una desturi ya kuudhi na kukera , way toward ni kuukubali na kufanyia kazi mapungufu , kadiri tunavyoukataaa ukweli ndo tunavyozidi kupotea, blacks tunazingua!