Hakika mkuu! Discipline inawafanya wafanikiwe hawa watu!!!Wake zao ni watulivu,so discipline,hata kichwa ya mzee inatulia,sisi unarudi home umechoka unaanza kupewa yaliyojiri mchana kazini kwake,nyumbani, kwa jirani,ya ukoo ubongo wetu haupumziki kabisa,pia ni wabahili sana,muhindi anabeba msosi wa mchana,au kama ni dukani wako family wanarudi home kupiga msosi.
Kiluwa steel ni ya mswahili ? Unajidanganya na hii ndo desturi yetu .Nazingua nini sasa kiwanda cha Dangote ni mhindi tatizo si management mmiliki sio mhindi.
Unasema kiwanda cha Nondo hujui kama kuna Kiluwa Steel Group mmiliki ni Muhammed Said Kiluwa.
Tatizo wabongo hampendi sheria tu mbona sheria zipo na hao watu wa nje wanazifuata na bado ni matajiri wa kutupwa tu kama kodi wanalipa sema sisi watz janja janja nyingi sna ndo maana hutuendelei kibishara hata kielimu piaEti nyerere hakupenda wazawa washike hela, yaliyomkuta kambona imebaki historia.
Huyu kichaa wetu tuliye naye hapendwdi wazawa wenye hela kila kukicha Ni masheria ya kuua biashara.
Hakuna wakwepaji kodi nchi hiii kama wahindi.Tatizo wabongo hampendi sheria tu mbona sheria zipo na hao watu wa nje wanazifuata na bado ni matajiri wa kutupwa tu kama kodi wanalipa sema sisi watz janja janja nyingi sna ndo maana hutuendelei kibishara hata kielimu pia
Kwa nini UNABAGUWA??Ujue tuko > milioni 45, Wahindi hawafiki laki 2, ...
Hahaha.... kaulize TRA ??? acha kutoa takwimu za chuki..Hakuna wakwepaji kodi nchi hiii kama wahindi.
Bantu gani unaongelea...? Kama bantu ipo haiKiukweli kabisa kutokana na uzoefu wangu wa kusoma katikati ya mistari naamini kabisa Barbarosa ni mtanzania mwenye asili ya asia especially india ,ila nj kada mtiifu kuliko mwenyekiti na kwenye huu uzi anatuchora tu wabantu
Kaka mzungu mali yake anaificha mno mchina yale mabonanza ukilitingisha au ukifanikiwa kulibeba mpaka polini umekula bingo unaenda kununua shambaUnakataa Mzungu mwekezaji, halafu unaleta Wachina wawekezaji wa Mabonanza au Makorokoro ya bahati nasibu.
Nchi nzuri hii lakini ina bahati mbaya sana.
Watanzania hatuna taratibu ya kuweka generational wealth yaani kila anaezaliwa anaanzia anapojua yeye. Ndio maana kauli nyingi za "Umekua katafute vyako " ipo commonSi kweli. Hii ni colonial legacy. Wakati wa ukoloni Asians walikuwa kisheria ndio wafanyabiashara. Popote alipotawala Muingereza hii ndio system. Waafrika ilikuwa ni wajakazi/watwana. Mfumo huu uliendelea baada ya uhuru, wahindi wakiwa na mizizi ya biashara na connection kwenye utawala. Sisi waswahili wazazi walihimiza usome kisha uajiriwe serikalini. Ingawa sasa hivi overtime social adjustment inatokea. Waafrika wanaovertake business community.
Itabakia NSSF, Tanesco, CRDB, NMB labda na mwendo kasi, hata ubishi wa mpira utaisha Tanzania kwani bila ya Wahindi /Waarabu hakuna Simba, Yanga wala Azam.
I mean, sisi watu weusi inabidi tuamke kwa kweli. Idi Amini alifukuza Wahindi baadaye wakaenda kuwapiga magoti warudi, kuna jamaa (mweusi mwenzangu) alitaka kunipiga ngumi kisa nimemuongelea MO asivyotaka kusikia, nilitafakari nikakosa jibu.
Sasa hivi Tanzania hata Utalii bila ya kampuni za Wahindi hakuna kitu, BTW Wahindi Tanzania nzima ni < 200 000 sisi tuko zaidi ya milioni 45.
Heri ya Mwaka mpya 2021
Nakubaliana na wewe. Swali linakuja kwanini wahindi wawe na culture hiyo na sio sisi waswahili?Watanzania hatuna taratibu ya kuweka generational wealth yaani kila anaezaliwa anaanzia anapojua yeye. Ndio maana kauli nyingi za "Umekua katafute vyako " ipo common
Hao matajiri wengi wa kihindi kama Mo hawakuzitengeneza kampuni zao from the scratch. Walipewa elimu na ujuzi wa kusimamia biashara ila sisi huo utaratibu hatuna ndio maana tutabaki kuwa maskini
nadhani ni tamaduni za makabila mengi kutoka zamani. Mtoto akikua atapatiwa sehemu ya mali za kumsaidia kuanzisha maisha yake na mzazi akifariki mali zinagawanywa pasipo kuangalia uwezekano wa kuziendelezaNakubaliana na wewe. Swali linakuja kwanini wahindi wawe na culture hiyo na sio sisi waswahili?
Bantu gani unaongelea...? Kama bantu ipo hai
Mbona hatuoni ikiwa hata jina ktk kamili ya maendeleo..
Nani mwenye ujenzi bantu hapa chini au hata barani Afrika?
Jee ulishasikia hospitali inaitwa Bantu..?
Au uwanja wa mpira inaitwa bantu au uwahi wa ndege...?
Tusijichanganye..