Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Wrevta

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
1,442
Reaction score
1,731
Naona ni usiku ila lengo langu la kuleta uzi naomba niliweke wazi. Wengi tunapenda kunywa maji ya moto asubuhi ama jioni, ili kupasha tumbo kabla ya chakula kigumu.

Wengi machaguo yetu huangukia kwenye maziwa, chai na kahawa. Sasa naomba kujua, wewe binafsi chaguo lako ni kahawa au chai?

Na kwa nini?
 
Chai, sababu kahawa chungu
 
Mara hata 5 kwa siku, kwa week nitakuwa mwehu, ila sijawahi kunywa au kuvuya sigari mpaka kwa umwi wa miaka hii 50 plus
Hujawahi kunywa au kuvuya sigari? Sijakuelewa.
 
either mix with powdered milk nanmda mwingine napikia maziwa. Huu ni ugonjwa wangu mkubwa milk [emoji477]️
Me too. Napenda chai ila iwe KAHAWA. Inaleta nguvu mno hasa ikichanganywa na maziwa. Hii mimajani ya chai si mizuri sana ukiacha yale majani ya black tea
 
Back
Top Bottom