Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Siuzi kahawa mzeee
Tafuta kahawa ya Kilimanjaro. Aisee naoka wanauza sana big supermarket
huwa nazitafut kwa shida kubwa
africafe hazina maajabu
Hiyo ya Kilimanjaro ni powdered kama Africafe au ni texture kama hizi local coffee?
 
Hiyo ya Kilimanjaro ni powdered kama Africafe au ni texture kama hizi local coffee?
ndio hizo za kilimanjaro ni powdered coffee na ni instant
Kuna coffee instant ukiweka kwenye kahawa inapotelea huko

ila ambayo natengenez mwenyew hiyo imabaki kama majani ya chai...
 
Hebu tuongee mambo ya msingi hapa tuache ujinga.

KACHORI NA MWIGULU MI NACHAGUA KACHORI AISEE
 
Back
Top Bottom