Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaanza na chai baadae kahawa hata chupa tatuNaona ni usiku ila lengo langu la kuleta uzi naomba niliweke wazi. Wengi tunapenda kunywa maji ya moto asubuhi ama jioni, ili kupasha tumbo kabla ya chakula kigumu.
Wengi machaguo yetu huangukia kwenye maziwa, chai na kahawa. Sasa naomba kujua, wewe binafsi chaguo lako ni kahawa au chai?
Na kwa nini?
Kahawa is very addictiveOooh mimi kahawa. Nimeanza recently baada ya kuona chai siielewi asubuhi. Naiona nyepesi mno.
Nunua kahawa iandae mwenyew hutojutua utaona tofauti kubwa sana na hizi za kununuaMe too. Napenda chai ila iwe KAHAWA. Inaleta nguvu mno hasa ikichanganywa na maziwa. Hii mimajani ya chai si mizuri sana ukiacha yale majani ya black tea
Sasa si ukichukua tena au kama una kahawa ya kutosha uliyoiandaa uniuzie na mimi mkuu?[emoji38]Nunua kahawa iandae mwenyew hutojutua utaona tofauti kubwa sana na hizi za kununua
bahati nzuri huwa nachukua nyumbani Rombo huko sema bi mdachi ananiandalia. Kisha naend chukua hapo home
nyumban kuna nyumbu zinapiga kahawa hatare. .
Nunua lato milk haina ladha kama Nido au nunua maziwa ya pakti fresh. 😀 japo maziw ya pakti sio heavy na wanaweka sana creamHahahah halafu umenikumbusha kitu. Baadaye acha nikanunue powder milk na kopo la coffee[emoji38][emoji38][emoji38]
Siuzi kahawa mzeeeSasa si ukichukua tena au kama una kahawa ya kutosha uliyoiandaa uniuzie na mimi mkuu?[emoji38]
Okay! Kahawa ya Kilimanjaro... nimekupata mkuu. Ni kweli unywaji wa kahawa una ulevi mkubwa.Siuzi kahawa mzeee
Tafuta kahawa ya Kilimanjaro. Aisee naoka wanauza sana big supermarket
huwa nazitafut kwa shida kubwa
africafe hazina maajabu
Natumia hii pia 👇 haina maajabu kama ya K'njaroOkay! Kahawa ya Kilimanjaro... nimekupata mkuu. Ni kweli unywaji wa kahawa una ulevi mkubwa.
Hivi nikichukua hayo maganda, mawili yani mchai, limao, nikachota maji ya moto nikatumbukiza vyote, nikasubiri ikapoa nikanywa, vipi hapo au mpaka vichemke jikoniMchaichai, tangawizi na maganda ya limau
Hiyo pia inafaa. Yuko ndugu mmoja yeye huandaa chai hama hiyo na kuweka kwenye friji ikipoa anakunywa kama sharubati (juice)Hivi nikichukua hayo maganda, mawili yani mchai, limao, nikachota maji ya moto nikatumbukiza vyote, nikasubiri ikapoa nikanywa, vipi hapo au mpaka vichemke jikoni
Wow my dadaa! You prefer coffee to tea?Coffee please