Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Maziwa fresh, naweka na kahawa ya unga laini isio na chenga taste yake sio ya nchi hii hasa upate maziwa yasio na maji
 
Napata kahawa mapema Sana asubuhi, siku hua inakua nyepesi sana.
 
Sasa kibobori ni wale panya buku uchagani. Sizungumzii wale Fuko wanaoliwa. Huyu mchanga kibobori maharo anajiita panya buku anayetokea maharo.😀

wa nyumbani huyu. Hivu IamBrianLeeSnr ni mchaga wa wap?
Mimi ni wa marangu Gily kijiji kinaitwa msae ndipo napotokea pale karibu na kanisa kubwa limepakana na shule ya nganyeni! Lkn unapanda juu kidogo kama unaenda lykrimu kule kiunguni🤗
 
Mimi ni wa marangu Gily kijiji kinaitwa msae ndipo napotokea pale karibu na kanisa kubwa limepakana na shule ya nganyeni! Lkn unapanda juu kidogo kama unaenda lykrimu kule kiunguni🤗
Nimeoa mmarangu mmasai anatokea marangu mtoni. Japo sijafika ukweni huko marangu kutokana na wazazi pia kuwa huku mjini. Nataka mwakani nifanye mpango nikasalimie huko😎 napita kwenu.

Natokea Rombo mkuu. Humu ndani kuna baadhi ya watu wanajua ndugu zangu akiwemo DALALI MKUU. Mamaya pia wa nyumbani huko huwa namchanganya na dalali mkuu. 😀 Kalpana pia nafuatilia naweza kuwa na ujamaa nae. Glenn haeleweki anatokea wapi yupo kama mswahili wa chalinze🤣.
 
Back
Top Bottom