Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Tuwe wawazi: Hivi chai na kahawa unapendelea kunywa nini?

Nimeoa mmarangu mmasai anatokea marangu mtoni. Japo sijafika ukweni huko marangu kutokana na wazazi pia kuwa huku mjini. Nataka mwakani nifanye mpango nikasalimie huko😎 napita kwenu.

Natokea Rombo mkuu. Humu ndani kuna baadhi ya watu wanajua ndugu zangu akiwemo Mamaya. Kalpana pia nafuatilia naweza kuwa na ujamaa nae. Glenn haeleweki anatokea wapi yupo kama mswahili wa chalinze🤣.
Nitakutafuta one day
 
Kahawa tunaichukia kwasababu tunainywa kavu bila ya kuchanganya na maziwa na sukari!!

Ila onja kahawa ya starbuck utakuja kuhadithia
 
Back
Top Bottom