Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Mimi najivunia kwakweli wala sijawai taman kuwa mkenya hapa nakaa kwa aman zote
 
Pitia habari toka mwezi uanze utafute vya kujivunia. Mbanga za TLS, mauaji ya wanaotuhumiwa wizi, yanayoendelea siasani, olympic, binti aliyedhalilishwa, watoto kupotea, utekwaji
 
nimezaliwa apa,nmekulia apa na ntazikwa apa tz.
ata kama unikute nmepotelea nchi nyingine nikumbushe nirudi bongo,ktk swala la uzalendo nmelipa kipaumbele.

im proud to be a tz
 
Sana tu. Tanzania ni moja ya nchi nzuri na ya kipekee sana Duniani. Naipenda nchi yangu Tanzania
 
Mmh
 

Attachments

  • FB_IMG_1718882784219.jpg
    FB_IMG_1718882784219.jpg
    30.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom