Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Najivunia ndio na sijawahi kutamani kuishi nchi nyingne.

I am such a nationalist to the point nikisikia nchi yangu au Watanzania wenzangu wanadharauliwa najiskia uchungu mno moyoni.

Viongozi tu Tanzania ndio DISASTER📌
 
Inategemea unajilinganisha na nchi gani. Ingawa mimi najivunia kuwa mtanzania mzalendo.
 
Kusema kweli najivunia ivyo ivyo Sasa ntafanyaje ni kama nimetokezea tu ili eneo Ila sikupanga mm😆😆😆
 
Back
Top Bottom