Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Ni mtu mjinga tu ndio atapoteza muda kwenda kuandamana.Hongeera ila Gen z hawastahili kuandamana mkuu?
Hata ukiandamana hadi baraza la mawaziri likavunjwa, bado huwezi kupata ajira kama huna sifa za kuajiriwa.
Bado huwezi kupata mtaji wa biashara kama huna disprini ya fedha.
Wanaonufaika na maandamano ni wanasiasa. Ni mazingira machache sana yanayohalalisha maandamano hata kwa mwny akili timamu.