Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Mimi najivunia kwakweli wala sijawai taman kuwa mkenya hapa nakaa kwa aman zote
 
Asili huwa haibishaniwi kwa kuwa haina mbadala. Jivunie U-afrika, U-tanzania, Ukoo wako, familia yako; na zaidi jivunie jinsi ulivyo wewe mwenyewe!
 
Pitia habari toka mwezi uanze utafute vya kujivunia. Mbanga za TLS, mauaji ya wanaotuhumiwa wizi, yanayoendelea siasani, olympic, binti aliyedhalilishwa, watoto kupotea, utekwaji
 
nimezaliwa apa,nmekulia apa na ntazikwa apa tz.
ata kama unikute nmepotelea nchi nyingine nikumbushe nirudi bongo,ktk swala la uzalendo nmelipa kipaumbele.

im proud to be a tz
 
Sana tu. Tanzania ni moja ya nchi nzuri na ya kipekee sana Duniani. Naipenda nchi yangu Tanzania
 
Mmh
 

Attachments

  • FB_IMG_1718882784219.jpg
    30.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…