Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Aug 12, 2024 #61 Mjuni Lwambo said: Ndiyo hivyo. Tanzania tuna fursa za kila aina. Ukitaka ujue Tanzania tuna raha sana nenda kaishi Sierra Leone au Jamhuri ya Afrika ya kati hata kwa mwezi mmoja tu Click to expand... Nipe mchongo basi
Mjuni Lwambo said: Ndiyo hivyo. Tanzania tuna fursa za kila aina. Ukitaka ujue Tanzania tuna raha sana nenda kaishi Sierra Leone au Jamhuri ya Afrika ya kati hata kwa mwezi mmoja tu Click to expand... Nipe mchongo basi
suzie _barbie JF-Expert Member Joined May 2, 2017 Posts 1,523 Reaction score 3,073 Aug 12, 2024 #62 Najivunia ndio na sijawahi kutamani kuishi nchi nyingne. I am such a nationalist to the point nikisikia nchi yangu au Watanzania wenzangu wanadharauliwa najiskia uchungu mno moyoni. Viongozi tu Tanzania ndio DISASTER📌
Najivunia ndio na sijawahi kutamani kuishi nchi nyingne. I am such a nationalist to the point nikisikia nchi yangu au Watanzania wenzangu wanadharauliwa najiskia uchungu mno moyoni. Viongozi tu Tanzania ndio DISASTER📌
kiumbebutu Member Joined Jan 21, 2020 Posts 73 Reaction score 212 Aug 12, 2024 #63 Kuna tz coz Sina option😓
tamsana JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,739 Reaction score 8,044 Aug 12, 2024 #64 Inategemea unajilinganisha na nchi gani. Ingawa mimi najivunia kuwa mtanzania mzalendo.
white man Senior Member Joined Dec 26, 2022 Posts 118 Reaction score 232 Aug 12, 2024 #65 Kusema kweli najivunia ivyo ivyo Sasa ntafanyaje ni kama nimetokezea tu ili eneo Ila sikupanga mm😆😆😆