Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi. Kimsingi Kejeli hizô zinawahusu Wanawake wasiokuwa, tegemezi Kwa Wanaume, wasiotaka kufanya Kazi na kujihudumia waô na Watoto waô. Wanaotumia Watoto waô kama miradi ya Kujipatia kipato.

Hao ndîo huitwa single Mother.

Hakunaga single Father Duniani Kwa sababu hakunaga wanaume weñye Watoto àmbao watahitaji Mwanamke Mwingine atoe huduma za kifedha na mahitaji Kwa Watoto waô.
Ndîo maana hata ukimuita Mwanaume single Father kwàke haina Ñguvu, haimuumi.

Single mother NI neno baya na Kejeli Kwa Wanawake tegemezi, nyonyaji na wale ambao wakitaka mahusiano mapya huwapa Mizigo Wenza wapya kuwatunza Watoto àmbao siô Waô.

Mwanamke mwenye Kazi yake, mwenye uwezo wa kulea Watoto wake mwenyewe HAYUPO kwèñye kundi la single mother na hata ukimuita single mother haiwezi kumuuma zaidi atakuona hamnazo kwani hajakupa Wala kumpa yeyote Mtoto au Watoto wake uwalee.

Mwanamke mwenye Kazi na anayeweza Kumudu kulea Watoto wake ukimuoa hawezi kuwa mzigo wa msalaba zaidi sana mtasaidiana Majukumu ya Kûtunza Watoto wenu kama ilivyolengo Kuu la Ndoa yàani kusaidiana.

Watu wanaosema hawataki Kuoa single mother tafsiri Yao kûbwa NI kwamba hawataki kujibebesha Misalaba ya Maisha Kwa kulea Watoto AMBAO siô Waô. Na kuachiwa mzigo wote wa kuvuja jasho kupita kiasi.

Kûna msemo Siku hizi unasema Vijana wanataka mashangazi, lakini ukifuatilia Kwa undani mashangazi mengi yanayotajwa Hapo NI masingle mother Zamani yaliitwa sugar mummy yàani Mwanamke mwenye kujiweza kiuchumi.

Single mother asiye na Kazi Wala ASIYEWEZA kujihudumia hayupo kundi la sugar mummy au shangazi Bali yupo lile kundi linalokimbiwa Kila Siku na Vijana na Wanaume.

Taikon master kama mtaalamu wa sosholojia na saikolojia ndîo maana kîla nipatapo Nafasi nawaambia Dada zangu na Binti zangu ni lazima ufanye Kazi za uzalishaji Hilo Wala siô ombi bali ni Amri àmbayo hata mwenyezi Mungu aliitoa kuwa Mtu sharti afanye Kazi kama hutaki kudhihakiwa au kudhalilishwa.

Wewe kama Huna Kazi na tegemezi hata serikali iwekwe Sheria Kali ya kunyonga Watu wanaokejeli, dhihaki, kunyanyaswa na kudhalilisha Wanawake tegemezi, elewa Watu wataendelea kuivunja hiyo Sheria Kwa sababu hiyo NI Asili kuwa Mtu tegemezi ni mtu aliyeamua kudharauliwa na kukejeliwa.

Mumeo anapokuambia uache Kazi na usifanye Kazi íwe KW Nia yoyote Ile nzuri au Mbaya. Elewa Siku mkiachana anakuwekea mazîngira Magumu ya kukejeliwa na kudharauliwa.
Hutoitwa Sugar mummy kama uliachwa alafu hujiwezi. Hutoitwa shangazi ilhali hujiwezi.
Utaitwa single mother na matusi kibao.

Fikiria unawatoto wawili au Watatu, unamiaka 30+ alafu unàtaka Mwanaume mpya akuhudumie wewe na Watoto wako ukijitafakari Akili yako itakuwa inachaji kweli?
Wanaume waache mabinti wabichu WA tiktok, Instagram Huko kweli waje uwabebeshe misalaba isiyowahusu, kweli dada zangu hiyo inawaingia akilini?

Mambo yamebadilika.

Elimu bure na zinatolewa Sawa Kwa jinsi zote Mbili why hutaki kusoma?

Fursa za Kazi zinatolewa kwa jinsia zote Mbili Kwa usawa why hutaki kufanya Kazi ujitegemee?
Unafikiri serikali na Dunia ya Sasa imechukua uamuzi WA kufanya hivyo NI wajinga na wéwe ndîo unaakili kuwashinda ndîo maana hutaki Shule na hutaki Kazi Kwa kutegemea kuwa Mwanaume Fulani atakutunzia Watoto uliozaa na Wanaume Wengine Huko.
Kwèli?

Dada zangu, Binti zangu nawaomba, Nipo chini ya miguu Yenu. Legezeni vishikizo vya Akili zenu ili mnielewe. Kufanya Kazi NI kwaajili Yenu wenyewe na Watoto wenu. NI kwaajili ya heshima Yenu baadaye mambo yatakapobadilika.

Msiwe wajinga.

Hivi kwaakili yako, Mwanaume amekuta Wanawake wawili warembo, wôte wanamtaka, wôte wanamtoto lakini mmoja anakazi (anajiweza)na mwingine hana kazi(hajiwezi) hivi unadhani huyo Mwanaume atamchagua Nani?
Kwa ulivyo mjinga utasema ataangalia anayempenda.

Mambo ya kuangalia anayempenda yanaishia CHINI ya Miaka 30 Huko.

Hivi Mwanaume mwenye Miaka 35 unafikiri amependa wangapi Huko Nyuma Mpaka alipokutana na wéwe akupende wewe akuchague wewe dhidi ya mwanamke mwenzako mwenye uwezo wa kumsaidia kimaisha na kutimiza Ndoto zào Kwa pàmoja?

Binti yàngu, Mimi Babaako huenda ukaniona ninakukera Sana lakini elewa ninayoyasema ndîo ukweli wènyewe.

Fanya Kazi. Kazi NI Ibada. Jitahidi ujitegemee na usiwe mzigo Kwa Mtu yeyote Yule.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Kwa Sasa Dar es salaam
 
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi.
Kimsingi Kejeli hizô zinawahusu Wanawake wasiokuwa, tegemezi Kwa Wanaume, wasiotaka kufanya Kazi na kujihudumia waô na Watoto waô. Wanaotumia Watoto waô kama miradi ya Kujipatia kipato.

Kwa
Singo maza ni singo maza anajulikana no need to suger-coat them.
 
Mimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?

Kwa Mwanaume hawezi kuwa na jina Kwa sababu ya kuwa anafanya Kazi na anauwezo WA kulisha watoto wake.

Hiyo pia Ipo Kwa Wanawake single weñye vipato na uwezo.
Mimi sijawahi kuona Mwanamke mwenye Kazi au kipato akiitwa single mother
 
Siyo kweli, je wale wanao mudu kuwalea watoto wao utawaitaje
 
Mkuu naona kama mshanichoka sasa😁😁😁
downloadfile-37.jpg
 
Back
Top Bottom