Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Ok ,sawa sawa
 
Wanaoguswa na changamoto za wanawake kuliko wenye jinsia yao ni wanaume, hongereni kwa muda wenu na mapenzi yenu, mmejipa majukumu ya kushauri kuadhibu?kuhudumia na kuwa wasemaji wa wanawake, ni kama wanaume hamna changamoto zozote kabisa

Kwa sababu jukumu la Mojawapo la Wanaume NI ulinzi wa Ndoa na jamii ikiwemo Wanawake.

Hata Huko Gaza wanaopiga kelele kuwatetea Wanawake na Watoto wanaouwa NI Wanaume.

Yapo makundi MAWILI.
1. Kundi àmbalo linawakandamiza Wanawake na wanaona wanahiyo Haki ya kuwakandamiza.

2. Kundi linalotetea Wanawake na kuwaamsha kuwa nao ni Watu wanaotakiwa wajitambue ili Ûtu waô uheshimike.

NI vita ya Mwanaume mwema, nuru Vs mwanaume Mbaya, Giza.
Wanawake ndio maslahi ya makundi hayo mawili

Hakuna vita Baina ya mwanaume na Mwanamke
 
Faraja ya uongo ni kuzidi kuwaumiza.
Waambiwe ukweli kuwa wanatakiwa kujitegemea ili Kulinda heshima Yao kama kweli wanataka kuheshimiwa
Ukweli unaopaswa uwaambie ni waache kujilengesha kubeba beba mimba hovyo kisa umri umesogea au sijui nina uwezo wa kumlea mtoto mimi nibebeshe mimba tu,asili ya dunia siyo mtu kujizalia tu kama mbwa zipo taratibu zake.

Mwanamke kuilinda heshima yake ajitegemee akiwa hana damu ya mtu akishakuwa amebebeshwa mtoto wa mtu hata akijitegemea huyo atabaki kuitwa single mama,hapo watoe waliobakwa na wajane.
 
Hiyo maana yako baki nayo mwenyewe
 

Mwanamke anaweza akawa na Adabu akaolewa Kabisa lakini kwèñye Ndoa akaambiwa asifanye Kazi. Akamheshimu Mumewe na kumsikiliza.
Alafu mwisho WA Siku akapewa talaka au Mumewe akamfanyia mambo ya hiyana, au akataka kumuongezea Mke Mwingine.

Baàda ya kufukuzwa, Hana Kazi, hawezi kujitegemea na uzoefu WA kujitegemea Hana.
Hawezi kujitunza wala Kûtunza Watoto wake aliowazaa mwenyewe Wakati Kuku na Wanyama wengine wanatunza.

Alafu anashindwa Kupata Mwanaume Mwingine Kwa Sababu huyo Mwanaume Mwingine anamuona mzigo yeye na Watoto wake.

Bado unaona sina sababu ya kuwaambia Ukweli?
 
Babu! Huyo ana watoto kama wote, kazi yake kuzalisha tu watoto wa watu.
Kwani ndiye Jana alikupeleka nyumbani kwake akuoneshe zile sufuria za plastic?

Mkimbie haraka sana huyo, hachelewi kubadirisha mbinu huyo 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…