Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Single parent family mbona definition ya Civics form one inaeleweka vizuri hii yako umeanza kuipaka paka rangi

Single parent family- is a family of mother/father with child or children
 
Wakati mwingine huwa unakurupuka kuandika tena kwa confidence sana.
Nafikiri Wewe ndio unakurupuka kusoma usiyoyaelewa au kusoma bila Kutumia ufahamu
Single mother ni mwanamke anayelea mtoto/watoto peke yake bila ya uwepo wa mwanaume pembeni yake, haijalishi huyu mwanamke awe na uwezo kiuchumi au asiwe nao.

Hii hakuna àmbaye hajui.
Labda nikikuuliza kama kweli hukukurupuka, nini ujûmbe au lengo la àndiko hili?
Lazima utambue, umuhimu wa mzazi wa kiume kwenye malezi ya mtoto wakati mwingine ni zaidi ya kutoa pesa za matunzo, na ndio maana hata hao single mothers wenye uwezo kiuchumi, bado wanahitaji kwa nguvu uwepo wa mzazi wa kiume pembeni yao.

Nani ambaye hatambui umuhimu wa Malezi ya Baba na Mama Kwa Mtoto?
Kwani Mimi ndiye nimewaambia Watu watengane?
Au yanayoendelea kwèñye jamii Mimi nimechangia Kwa kiasi gani?
Mimi nilichoandika ambacho weñye Akili za kushikiwa hawawezi kuelewa, Kwa Lugha rahisi NI kuwa,

Ili masimango, Kejeli, unyanyapaa, dharau Kwa single mother zipungue kama siô kuisha Kabisa nikashauri Mwanamke lazima ajitegemee Kwa kufanya Kazi Bila kujali ameolewa au hajaolewa.

Kwa uelewa wako, unafikiri Kwa nini Hakuna Kejeli Kwa single Father? Au Kwa jinsi uonavyo unadhani Kwa nini siô tatizo Kwa Wanawake kuolewa na single Father ila Kwa Sisi Wanaume NI tatizo kuoa single mother?


Majibu Yako yatadhihirisha Nani kakurupuka
 
Jana nimeota Nina mimba.niliota nimepima kipimo nikasema Nina mimba.kiukweli sijasex almost 2yrs.nilipokea majibu kwa masikitiko.naombeni tafsiri wakuu.kusema kweli nilikuwa na appointment yabkupiga tukio ila nimeogopa
Mimba ni mafanikio sio lazima iwe tafsiri ya mimba ya mtoto tu.,yusufu naongea hapa😜😜🤪
 
Mimi mara zote huwa natamani kuijua status ya mtu ninayejadiliana nae kuhusu mambo ya kifamilia,kama ulinisoma vizuri nilisema ili kufikia hatua hiyo zipo sababu za msingi zinazosababisha hili,kujenga familia ni kama kujenga nyumba kama mke na mume wanasikilizana watakaa chini kuyajadili hayo.

Either dini au sababu za uzao,mume anataka watoto nane mke uwezo wake wa kuzaa wanne unasemaje hapo?mimi babu yangu alikuwa na wake tisa (9) na wote walijuana na kuheshimiana hao bibi zangu unataka kusema walikuwa wanateswa kihisia?kitu gani leo kinawashinda hawa wetu kuwa hivi?well,ukisasa kama ni ukisasa then akigeuka single mama kwa sababu mume kamweleza ukweli kwamba anahitaji watoto zaidi na kufanya siri hawezi aondoke but ataitwa single mama.
 
Ili Watu wasikilizane lazima kîla Mtu awe na Ûtu.
Moja ya Sifa ya Mtu NI kufanya Kazi. Yàani Kazi NI kipimo cha Ûtu WA Mtu. Hata Amri kuu za Mungu NI kufanya Kazi.
Hamuwezi kusikilizana Ikiwa mmoja NI tegemezi Kwa Mwingine zaidi. Badala ya kutegemeana.


Either dini au sababu za uzao,mume anataka watoto nane mke uwezo wake wa kuzaa wanne unasemaje hapo?mimi babu yangu alikuwa na wake tisa (9) na wote walijuana na kuheshimiana hao bibi zangu unataka kusema walikuwa wanateswa kihisia?

Vipi kama Mke anataka Watoto Saba alafu Mume uwezo wa kuzaa NI watoto wawili?

Jibu liko wazi, walikuwa wanateswa kihisia. Tenà mateso Makali.
Hata hivyo hawakuchukuliwa Kama Watu kwani wangechukuliwa kama Watu Wala hayo yasingetokea
kitu gani leo kinawashinda hawa wetu kuwa hivi?well,ukisasa kama ni ukisasa then akigeuka single mama kwa sababu mume kamweleza ukweli kwamba anahitaji watoto zaidi na kufanya siri hawezi aondoke but ataitwa single mama.

Kinawashindwa Sasa hivi Kwa sababu tayari Elimu ya utambuzi ya kweli kuwa nao ni Watu wameanza kupewa na inawaingia.

Zamani Watu Weusi, hawakuchukuliwa kama Watu ndîo maana walifanyiwa Yale yôte àmbao MTU hapaswi kufanyiwa.

Sasa nikuulize swali, Kwa nini Siku hizi watu Weusi wanakataa ukatili, uonezi, unyonyaji Kutoka Kwa Watu weupe?
 
single = asiye na mwenza

mother = mzazi wa kike

single mother = mzazi wa kike, asiye na mwenza(bila kuzingatia kigezo kingine chochote)

ni hivyo tu

tatizo robert unajua kuandika sana, lakini muda mwingine unajichosha tu
 
Bado unaendelea kukurupuka tu, na kupotosha na maswali yako mengi yasiyo na maana.

Elewa hili, masimango kwa single mothers hayamalizwi kwa wao kuwa na uwezo mkubwa kiuchumi, masimango yanamalizwa kwao kupata wenza wa kiume ili washirikiane kwenye malezi ya watoto, ndio maana nikakupa mfano, wapo single mothers wenye uwezo kiuchumi, lakini bado wanatafuta wenza wa kiume walee nao watoto.

Sio mada zote una uwezo wa kuzielezea, nyingine huwa unaelea tu.

Hata ukitazama mantiki ya neno "single" hili halitokani na mwanamke kuwa na uwezo mdogo kiuchumi, hili husababishwa na umoja kwenye malezi, kwamba watoto wanalelewa na mzazi mmoja wa kike, sasa wewe na haya mambo yako ya uchumi umeyaokota wapi?!

Kaa chini fikiria vizuri, wacha kukurupuka.
 
Mama ni mama bwana
Kwamba ukiolewa unakuwa double Maza au?
Kila mtu azae jamani ohoo
Wanawake wenzangu hizi ni kauli za shetani ili mtoe mimba au muogope kubeba mimba
Mtuite hata ziro mother tunazaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…