Tuweke Akiba ya uzeeni. Hakuna mwenye wajibu wa kututunza uzeeni isipokuwa akiba zetu tulizojiwekea ujanani


"Shangazi zako ni wabaya Sana. Wachawi na walozi. Wameniloga" Mkeo
Ukikubali, inafuata Hii,
" Dada zako hawaniheshimu, wananidharau, ni Bora wasije hapa nyumbani" Mkeo
Ukikubali, inakuja Hii,

" Mama yako ndiye chanzo cha Sisi kuwa masikini, ni mshirikina, Mimi ngoja niwaahie nyumba" Mkeo.
Utamuambia Mama arudi nyumbani au kama yupo nyumbani unajikuta haumtumii Pesa.

Umekwisha wewe
 
Mada nzuri ila mimi ninaiangalia kwa upande wa pili,tunza yes kama kipo cha kutunza, maisha haya ya hand to mouth sijui kama unaweza tunza, jingine tunaliogopa kulizungumzia ni wajibu wa serikali kutoa grants kwa senior citizens wake wote, kuna serikali nyingi tu hapa Africa zinatoa grants hii hadi kwa watoto!,ninausubiria urais wangu wa 24hrs ambao nitafuta hii TSHS.nita I page against ZWK, na noti itaishia 100 tu,zile za 1000 hadi 10,000 nitazichoma moto
 
Mzazi mwingine anakuwa kama anakukomoa.....yaani analazimisha msaada wa kifedha, na kama huna eti uuze baadhi ya mali zako ili tu umpatie pesa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Noma Sana...

Hapo mbinu inayofaa ni kuwa msiri. Wewe kila siku ukipigiwa simu lalamika kuwa mambo hayaendi,
 

Serikali ianzishe Kodi ya Akiba ya uzeeni, hata 5% ya kipato, ili MTU akizeeka angalau apewe hata laki moja unusu kila mwezi, na matibabu Bure, usafiri Bure hivyo yaani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Serikali ianzishe Kodi ya Akiba ya uzeeni, hata 5% ya kipato, ili MTU akizeeka angalau apewe hata laki moja unusu kila mwezi, na matibabu Bure, usafiri Bure hivyo yaani
Ndio maana nchi inahitaji taasisi imara ili kuboresha utawala bora,ni wajibu wa serikali kuona hilo linafanyika
 
Ndio maana nchi inahitaji taasisi imara ili kuboresha utawala bora,ni wajibu wa serikali kuona hilo linafanyika

Tatizo lililopo ni kukosekana kwa
Uadilifu, uwajibikaji, upendo, uzalendo, na koi ya Maendeleo.
Watu wanaweza kukatwa Kodi lakini kukosekana Kwa mambo hayo kutazidisha maumivu Kwa watu
 
Taikoni wa fasihi big up...
 
Leo sasa ndo umeandika sio yale matope ya jana....
 
Jamani tuwajibike ujanani ..

Hili la wapemba,wahindi,wazanzibar na wasomali kuishi pamoja ni utamaduni wao na unazingatia ufuatiliaji wa karibu wa vijana wao katika uwajibikaji...
 
Vijana wa sasa ni mapenzi na kunywa bia sana.

Wanasema bia tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…