Tuweke Akiba ya uzeeni. Hakuna mwenye wajibu wa kututunza uzeeni isipokuwa akiba zetu tulizojiwekea ujanani

Utapata likes nyingi za vijana kama wewe,wavivu wa kufanya kazi wanategemea urithi,
mpaka unaandika haya nadhani una elimu angalau ya darasa la saba.Mpaka mzazi wako anakusomesha mpaka hapo ulipofikia alikuwa anatumia mawe?

Hulazimishwi kumtunza mzee wako ila nafsi itakusuta hadi unaingia kaburini,
na kwa bahati nzuri mtu yeyote anayejitambua,hatakosa wa kumtunza ili akifa wachukue alichonacho endapo watoto mtamtelekeza.
 
Unakuta mtu umesomeshwa bila mkopo hadi ngazi ya digrii,na msosi unapiga mpaka utakapopata kazi,ukishapata kazi kwa mhindi,mshahara haukutoshi unaanza kumlaumu mzazi(malizia mwenyewe na neno la mh.Tundulisu wakati anachangia
uuzwaji wa bandari).
 
Maisha ya binaadamu ni mungu tu anapanga,nimeshaona mtu aliyevaa mask ,anagongwa na kufa na mask yake,nimeshaona mtu amekufa siku tatu baada ya kukamilisha kujenga nyumba yake,nimeshaona mengi sana,ishi maisha usijitese,maana hakuna cha maana
 

Anayetelekezwa ni Mtoto.
Mzazi hawezi telekezwa. Huyo sio mzazi.
Nafikiri wajinga kama ninyi hamjui hata maana ya mzazi. Hata wanyama wanawashinda Akili.

Kumsomesha mtoto ni sehemu ya malezi na NI wajibu wa mzazi.
Ni wazazi wapumbavu kama wewe ambao mnaona kumlea au malezi Kwa mtoto ni hisani au msaada.
 
Maisha ya binaadamu ni mungu tu anapanga,nimeshaona mtu aliyevaa mask ,anagongwa na kufa na mask yake,nimeshaona mtu amekufa siku tatu baada ya kukamilisha kujenga nyumba yake,nimeshaona mengi sana,ishi maisha usijitese,maana hakuna cha maana

Kifo hakijawahi kuwa kisingizio cha watu kutokufanya wajibu wao. Ukifa umekufa.
 
Robert ikitokea upo na twenty something kuelekea thirties uko ..hujakaa vzr kiuchumi then Mzee wako amekumbwa na ugonjwa wa kupooza home ....utaendelea na mishe zako tu au utamtunza Mzee..... Kupooza ni kwamba 24 hours anahitaji utegemezi alaf yupo na mama pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…