mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Unaodhani wanaijenga ndio wenye kuiharibu, kwa namna hiyo tufanyeje?Kifo hakina dhaifu au jasiri ukiondoka biashara yako inafikia tamati.
Lumumba aliunguzwa ndani ya pipa la acid kawa maarufu anaishi mioyoni mwa wapigania uhuru lakini limebakia jina tu.
Yapo mengi sana ya kupigania kwa ajili ya kuijenga Tanzania yenye maendeleo yanayoonekana. Uanaharakati wa maana ni ule wenye kuijenga nchi kuliko kuibomoa.
Wenye kutaka kuijenga kwa dhati ya moyo, wanaangamizwa na kutekwa, tufanyeje?
Wenye nia na mapenzi mema ya nchi wanatafutwa kuangamizwa, hapo iweje?