mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Unaodhani wanaijenga ndio wenye kuiharibu, kwa namna hiyo tufanyeje?Kifo hakina dhaifu au jasiri ukiondoka biashara yako inafikia tamati.
Lumumba aliunguzwa ndani ya pipa la acid kawa maarufu anaishi mioyoni mwa wapigania uhuru lakini limebakia jina tu.
Yapo mengi sana ya kupigania kwa ajili ya kuijenga Tanzania yenye maendeleo yanayoonekana. Uanaharakati wa maana ni ule wenye kuijenga nchi kuliko kuibomoa.
Hauwezi kulinganisha maendeleo ya Zanzibar na Bara. Nenda bagomoyo ukaond kokoto zinavyosafirishwa kwenda Zenji. Hoteli zimeota kama uyoga na mpaka sasa aana BRT. Hiki kipindi ndio wana-enjoy matunda ya Muungano.What if I have gone there? In fact I am there contemplating your false accusation.
Uelewa unaweza kuwa tatizo letu tulio wengi juu ya nini kinachofanyika.Unaodhani wanaijenga ndio wenye kuiharibu, kwa namna hiyo tufanyeje?
Wenye kutaka kuijenga kwa dhati ya moyo, wanaangamizwa na kutekwa, tufanyeje?
Wenye nia na mapenzi mema ya nchi wanatafutwa kuangamizwa, hapo iweje?
Zanzibar nzima ina watu milioni moja hapo nimejumlisha na diaspora wote. Sawa na wilaya ya Kinondoni.Hauwezi kulinganisha maendeleo ya Zanzibar na Bara. Nenda bagomoyo ukaond kokoto zinavyosafirishwa kwenda Zenji. Hoteli zimeota kama uyoga na mpaka sasa aana BRT. Hiki kipindi ndio wana-enjoy matunda ya Muungano.
Nini maana ya Mahakama na Bunge huwa linakazi gani kama hicho unachotaka kiwe sawa tuUelewa unaweza kuwa tatizo letu tulio wengi juu ya nini kinachofanyika.
Hakuna anayetekwa pasipo kuwepo sababu za msingi, wewe na mimi hatujatekwa tupo huru muda huu.
Mimi nimesema unatoa madai ya uongo. Hivi Zanzibar imeanza kujengwa leo? Wakati munauana kupelekana kwenye vijiji vya ujamaa sisi tulikuwa tunajenga. Jee tulikuwa tunafaidi matunda ya muungano? Huenda ulikuwa hujazaliwa lkn muulize mzee wako, hivi wakati Zanzibar inajengwa miaka ya mwanxo ya 60 walikuwa wanafaidika na muumgano. Muulize pia hivi Nyerere alipotaka kujua mapato ya Zanzibar kwa kumtuma Amir Jamal, Waziri wa Fedha wa JMT ilikuwa inafaidi matunda ya muungano?Hauwezi kulinganisha maendeleo ya Zanzibar na Bara. Nenda bagomoyo ukaond kokoto zinavyosafirishwa kwenda Zenji. Hoteli zimeota kama uyoga na mpaka sasa aana BRT. Hiki kipindi ndio wana-enjoy matunda ya Muungano.
Kwa hio mlikuwa na BRT miaka hio ? Sehemu ya kuchukulia kokoto Bara kupeleka Zanzibar pale Bagamoyo ilijengwa miaka hio ? Ndugu mimi nimekaa zanzibar na nimeenda juzi hapa. Na mimi ni engineer by profession. I know what i am talking about. Sichukii lakini kurudi Tanzania kabla ya 2015 haiwezekani bila mapinduzi makubwa. Nafurahi maana badala ya kuvuna tunawasaidia. Na Nyerere anazidi kuonekana mjinga.Mimi nimesema unatoa madai ya uongo. Hivi Zanzibar imeanza kujengwa leo? Wakati munauana kupelekana kwenye vijiji vya ujamaa sisi tulikuwa tunajenga. Jee tulikuwa tunafaidi matunda ya muungano? Huenda ulikuwa hujazaliwa lkn muulize mzee wako, hivi wakati Zanzibar inajengwa miaka ya mwanxo ya 60 walikuwa wanafaidika na muumgano. Muulize pia hivi Nyerere alipotaka kujua mapato ya Zanzibar kwa kumtuma Amir Jamal, Waziri wa Fedha wa JMT ilikuwa inafaidi matunda ya muungano?
Zanzibar itabaki kuwa Zanzibar bila kujali nani anachukia. Mkuu; nikuambie tu hata mabwana zako, Wazungu, walishasema " when it horns in Zanzibar they play in the great lakes". Hiyo ndo Zanzibar.
1. Umeanza na kuuliza kuwa na BRT miaka hiyo. Hivi nchi inajengwa kwa siku moja? Hivi nyinyi wakati huo mulikuwa na daraja la Ndundu? Mlikuwa na ubungo flyover na nyengine? Mlikuwa na Muhimbili ya sasa? Jenga hoja zenye mashiko.Kwa hio mlikuwa na BRT miaka hio ? Sehemu ya kuchukulia kokoto Bara kupeleka Zanzibar pale Bagamoyo ilijengwa miaka hio ? Ndugu mimi nimekaa zanzibar na nimeenda juzi hapa. Na mimi ni engineer by profession. I know what i am talking about. Sichukii lakini kurudi Tanzania kabla ya 2015 haiwezekani bila mapinduzi makubwa. Nafurahi maana badala ya kuvuna tunawasaidia. Na Nyerere anazidi kuonekana mjinga.
Muungano ulikuwa unapingwa lakini awamu hii ya sita umeifaidisha Zanzibar. Mimi sijachukia ila nasema kilichopo. Na haya yanayotokea ndio yanafanya Nyerere azidibkuonekana mjinga.1. Umeanza na kuuliza kuwa na BRT miaka hiyo. Hivi nchi inajengwa kwa siku moja? Hivi nyinyi wakati huo mulikuwa na daraja la Ndundu? Mlikuwa na ubungo flyover na nyengine? Mlikuwa na Muhimbili ya sasa? Jenga hoja zenye mashiko.
2. Kuwa na sehemu Bara ya kupeleka kokoto Zanzibar ni kwa faida ya Bara kwani hapo kuna mapato/biashara. Hii wanaita win win situation.
3. Umesema umekaa Zanzibar. Hili si swala kwangu.
4. Umesema wewe ni engineer by profession. Hili linatia wasiwasi juu ya ukweli. Honekani kuongea kama engineer. No engineer can dare to talk such a trivial issue.
5. Unazungumza kwamba munafurahi kwa vile baada ya kuvuna munatusaidia. Ni uongo. Kilichopo ni chuki binafsi na kudhani Zanzibar ipo kusaidiwa na Bara! Hivi inafikaje mahala unasema ungeweza ungeitupilia mbali Zanzibar halafu ulete uongo eti unafurahi kuisaidia? Kumbuka wewe fake engineer; Zanzibar ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila kujali unapenda au unachukia.
Chief mangungo halikuwa hajui kusoma wala kuandikaHiyo kumbukumbu na price vipi mkuu ???
Mangungu sijui Mangungo wa msowero aliyetuuza watumwa na kugawa ardhi kwa wajerumani amelipa nini au ukoo wake umelipa nini.
It's better you fight for your rights rather than just lamenting and crying and making noises.
1. Unasema muungano ulikuwa unapingwa lakini awamu hii ya sita umeifaidisha Zanzibar. Kivipi? Ni nini Zanzibar imefaidika na muungano?Muungano ulikuwa unapingwa lakini awamu hii ya sita umeifaidisha Zanzibar. Mimi sijachukia ila nasema kilichopo. Na haya yanayotokea ndio yanafanya Nyerere azidibkuonekana mjinga.