Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Look at this stupid and foolish monkey escaped from Zoo

Watu mwaka Jana si walilima jamaa lenu likafunga mipaka watu wasiende kuuza mazao nje ya nchi au umesahau.

Hii nchi ina raia mataahira sampuli yako.
Kwa hiyo unataka kutuambia nini
 
Mwendazake alikuwa anajiona yeye ana akili kuliko watanzania wote milioni 60. Mtu gani hataki ushauri anafanya kazi kwa mawazo yake peke yake. Nadhani ni ile PHD ndio ilikuwa inampa kibri.

Sasa sisi tunaostaafu miaka 20 ijayo lazima tujue kabisa Mwendazake hajaacha kitu kwenye mifuko ya pensheni. Tusije tukapeleka lawama kwa mama bure. Nchi hii haijawahi kupata kiongozi wa hovyo kama huyu mzee.
Stu..pi. dd
 
Kwa kawaida mfumuko wa bei unapokuwa mdogo unachochea ukuaji wa uchumi. Nadharia zinapendekeza asilimia 4-8 zaid ya hapo au chini ya hapo ni threat kwenye uchumi.
Serikali ndio inayosimamia sera za fedha kupitia benki kuu, serikali haina fedha zake ila ina njia zake za kupata mapato kutoka kwa watu wake na kutoka nje kwahiyo kusema serikali ikibania fedha zake unakosea. Sera za kifedha zinazosimamiwa na serikali ndizo zinaathiri mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Serikali ikikusanya sana afu hairudishi kwa Wananchi kunakuwepo na mzunguko mdogo na watu watalia hakuna ela and vice versa

Watu wanacholalamika ni kuwa serikali ilikuwa haitumii hela zake kusizuridisha kwenye mzunguko; yaani ilikuwa inachukua kodi, na kutumia kodi hiyo kwenye miradi mikubwa mikubwa na hivyo hela hizo zilikuwa hazirudi kwenye mzunguko ule wa matumizi ya watu ya kila siku. Matumizi ya serikali kwenye infrastracture haionekani kama ni kuzirudisha kwenye mzunguko tena.
 
Waambie wakipata muda wapite na hapa ili waelewe vizuri [emoji116][emoji116]

Nawajua ni wavivu nimewasigezea

Tanzania’s Late President Magufuli: ‘Science Denier’ or Threat to Empire?

While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates. In particular, his efforts towards nationalizing the country’s mineral wealth threatened to deprive the West of control over resources deemed essential to the new green economy.

[https://unlimitedhangout]BYJEREMY LOFFREDOAND[https://unlimitedhangout]BYWHITNEY WEBB

MARCH 29, 2021

24 MINUTE READ

[https://unlimitedhangout]

Less than 2 weeks ago, Tanzanian Vice President Samia Suluhu Hassan delivered the news that her country’s president, John Pombe Magufuli, had died of heart failure. President Magufuli had been described as missing since the end of February, with several anti-government parties circulating stories that he had fallen ill with COVID-19. During his presidency, Magufuli had consistently challenged neocolonialism in Tanzania, whether it manifested through the exploitation of his country’s natural resources by predatory multinationals or the West’s influence over his country’s food supply.
In the months leading up to his death, Magufuli had become better known and particularly demonized in the West for opposing the authority of international organizations like the World Health Organization (WHO) in determining his government’s response to the COVID-19 crisis. However, Magufuli had spurned many of the same interests and organizations angered by his response to COVID for years, having kicked out Bill Gates-funded trials of genetically-modified crops and more recently angering some of the most powerful mining companies in the West, companies with ties to the World Economic Forum and the Forum’s efforts to guide the course of the 4th industrial revolution.
Indeed, more threatening than his recent COVID controversies was the threat Magufuli posed to foreign control over the world’s largest, ready-to-develop nickel deposit, a metal essential to electric car batteries and thus the current effort to usher in an electric, autonomous vehicle revolution. For instance, just a month before he disappeared, Magufuli had signed an agreement to begin developing that nickel deposit, a deposit that had been previously co-owned by Barrick Gold and Glencore, the commodity giant deeply tied to Israel’s Mossad, until Magufuli revoked their licenses for the project in 2018.
 
Siwezi kuuelewa huu uchambuzi unless uniambie kwa nini viwanda vingi abavyo ni vya binasfsi na serikali vilikufa awamu zilizopita na vilianza fufuka awamu ya JPM. Swali lingine kama hali ilikuwa mbaya ya kiuchumi kwa nini tuliingia uchumi wa kati?

Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri kwenda Kanani walipitia misukosuko ya kila aina njiani, ilifika mahali wakaanza kumlamu Musa wakisema ni heri warudi kule walipotoka. Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora kuwahi kumshuhudia katika maisha yangu, kwasababu ya ujasiri wake hasa kwenye kutujengea misingi ya nchi yenye uchumi endelevevu kwa siku zijazo.

Kupanga ni kuchagua na ili kufikia maendeleo ya kweli lazima kuna kizazi kijotoe sadaka kwa ajili ya wengine. Wakiloni walivamia Afrika miaka hiyo bila kujali wanyama wakali na magonjwa wakachukua dhahabu na almasi wakaenda jenga nchi zao, leo wajukuu zao wanakula matunda ya jasho la mababu zao.

Ni kweli JPM hakuongeza mishahara na alitoa fao la kujitoa, aliongeza makato kwa wanufaika wa bodi ya mkopo nk, lakini wanachi tulimuelewa nia ya yake, sababu matokeo yake tuliyaona kila tulipo safiri ndani ya nchi hii.

Miradi mikubwa mikubwa kama SGR Dar to Moro takriban 7trill, Nyerere george 6.9trill, Daraja la busis 6.9bill zahanati, vituo vya afya na hospitali za rufaa kila mkoa, masoko na basi stend kila mkoa, ujenzi wa meli ziwa Victoria, Nyasa na Tanganyika, vyote hivi vilihitaji pesa. Kwa akili ya kwaida ukifikiria miradi mingi, ukiacha reli ya SGR ilikuwa inakamilika kabla ya 2024 na ndio maana hayat Rais Magufuli aliwaasa wafanyakazi wawe wazalendo na kwamba angeongeza mshahara kabla hajamaliza muda wake.

Miradi hii mikubwa aliyoianzisha JPM ndio ingeongeza ukusanyaji wa kodi kwa siku za mbeleni na ndio ikafanya nchi iweze kujitegemea. Narudia tena kusema Rais Magufuli alikuwa ni kiongozi mwenye maono makubwa sana tulichewa kumpata, tulipompata hajadumu. katuachia dira ya maendeleo ya taifa ambayo tukiifuata taifa linakwenda kujitegemea kwa kipindi kifupi.

Siku zote unapotatua matatizo kwa watu wengine unaweza kusababisha matatizo kwa wengine, hatotokea kamwe kiongozi atayewarisha wote. R.I.P JPM.
Nakukumbusha na utaratibu wa online tickets ambao kama ukisimamiwa vizuri kwa siku 1 kiasi cha shilingi billion moja hupatika, barabara kiwango cha lami kilimita moja ni 1.2 b , assume makusanyo yote yakapelekwa kujenga barabara kwa kiwango cha rami, kwa mwaka kilomita 300+ means baada ya miaka 4 nchi nzima ingekuwa na mtandao mzuri wa barabara za rami
In short JPM alikuwa na focus nzuri Kwenye uchumi wa taifa yaani macro economy ambao huwa na tabia ya trickle down effect ( positive)
 
Nabii Bushiri October 2015 alitabiri mshindi wa uraisi ni jon, akatabiri tetemeko la bukoba, akatabiri wasiojulikana akisema anaona anga la tza limejaa damu, akatabiri hali ya uchumi itakuwa mbaya mbaya KILA mwaka KILA mtu ni shahidi wa wasiojulikana, mauaji kibiti, vyuma kukaza, kusomeshwa namba, kushughulikia kwa matajiri Hadi wakakimbia nchi, kushughulikia kwa wapinzani,nk.
Ila Mungu yu mwema usikia maombi ya wengi.
Ukiwa dikteta Ili udumu mda mrefu cheza na kanuni mbili.
1.Usisomeshe namba mabeberu
2.Usisomeshe namba watu wako.
PAKA na M7 wamecheza na kanuni hizi mbili thus wapo madarakani miaka, hawana shida na matajiri wala kuwakazia vyuma wapiga kura wao shida yao kubwa ukitaka kuuchokoza mzinga wa nyuki ( yaani waachie kitu) hakuna rangi utoacha kuiona.
Naona awakumpa seminar elekezi mwanafunzi wao atumie kanuni mbili hizi.au student jiwe alijifanya much know kuliko walimu wake.
RIP milele jiwe ulitaka tuhame mjini kwa kutukazia vyuma still bado tupo Sana na mjini atukuhama hata kwa kuunga unga bado tunasonga.
 
You can't just sit, watch and be mad!

Participate and be glad.
 
Nawajua ni wavivu nimewasigezea

Tanzania’s Late President Magufuli: ‘Science Denier’ or Threat to Empire?

While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates. In particular, his efforts towards nationalizing the country’s mineral wealth threatened to deprive the West of control over resources deemed essential to the new green economy.

[https://unlimitedhangout]BYJEREMY LOFFREDOAND[https://unlimitedhangout]BYWHITNEY WEBB

MARCH 29, 2021

24 MINUTE READ

[https://unlimitedhangout]

Less than 2 weeks ago, Tanzanian Vice President Samia Suluhu Hassan delivered the news that her country’s president, John Pombe Magufuli, had died of heart failure. President Magufuli had been described as missing since the end of February, with several anti-government parties circulating stories that he had fallen ill with COVID-19. During his presidency, Magufuli had consistently challenged neocolonialism in Tanzania, whether it manifested through the exploitation of his country’s natural resources by predatory multinationals or the West’s influence over his country’s food supply.
In the months leading up to his death, Magufuli had become better known and particularly demonized in the West for opposing the authority of international organizations like the World Health Organization (WHO) in determining his government’s response to the COVID-19 crisis. However, Magufuli had spurned many of the same interests and organizations angered by his response to COVID for years, having kicked out Bill Gates-funded trials of genetically-modified crops and more recently angering some of the most powerful mining companies in the West, companies with ties to the World Economic Forum and the Forum’s efforts to guide the course of the 4th industrial revolution.
Indeed, more threatening than his recent COVID controversies was the threat Magufuli posed to foreign control over the world’s largest, ready-to-develop nickel deposit, a metal essential to electric car batteries and thus the current effort to usher in an electric, autonomous vehicle revolution. For instance, just a month before he disappeared, Magufuli had signed an agreement to begin developing that nickel deposit, a deposit that had been previously co-owned by Barrick Gold and Glencore, the commodity giant deeply tied to Israel’s Mossad, until Magufuli revoked their licenses for the project in 2018.
Asante sana mkuu ubarikiwe, lkn pia wengi hawatasoma na bado watakuambia alikufa kwa covid na alikuwa mkabila. Kwnn Watz hatupendi kusoma na tunapenda kusikiliza maneno ya watu?
 
Asante sana mkuu ubarikiwe, lkn pia wengi hawatasoma na bado watakuambia alikufa kwa covid na alikuwa mkabila. Kwnn Watz hatupendi kusoma na tunapenda kusikiliza maneno ya watu?
Kwani kinachoandikwa si maneno ya watu pia?
 
Hawachelewi kukuzushia unaua legacy ya Hayati.
 
Back
Top Bottom