Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Hizi ndio aina za thread zinazotakiwa kuwepo jukwaa la siasa 👏👏👏,
at least watu wasio na interest ya vyama nao wapate kutoa mawazo yao pasipo kuwekwa katika ligi za kutetea vyama badala ya maslahi ya kitaifa ..
Ubarikiwe kwa muda wako mkuu
 
Nisamehe mkuu... leo ndo mwisho

Hongera sana mushi kwa bandiko lako la kisomi hapo namba moja. Mimi sio mchumi, lakini karibia yote uliyosema kwenye uzi wako mama, niliweza kuyabaini kwenye utawala wa Magu. Na nina uhakika kwa saa alikuwa ameshakwama, na ilikuwa ni suala la muda tu aibu hiyo kuwa wazi. Nadhani hata kifo chake kimechangiwa na msongo wa mawazo wa kukutana na ukweli uliomuumiza. Nadhani alikuwa anawaza ataweka wapi sura yake pindi ukweli huo ukikaa wazi, hasa ukizingatia mwenendo wa utawala wake wa kimabavu?
 
Hizi ndio aina za thread zinazotakiwa kuwepo jukwaa la siasa 👏👏👏,
at least watu wasio na interest ya vyama nao wapate kutoa mawazo yao pasipo kuwekwa katika ligi za kutetea vyama badala ya maslahi ya kitaifa ..
Ubarikiwe kwa muda wako mkuu

Nyie unaosema hamna vyama, huwa hamuwezi kuanzisha uzi zenu mpaka msubiri wenye vyama waanzishe? Sasa hapo tatizo ni hao wenye vyama kuanzisha nyuzi zinazobeba vyama vyao, au nyie msio na vyama lakini hamuwawez kujianzishia uzi zenu?
 
Ndugu mleta mada binafsi nimekuekewa kwa uchambuzi wako huu kwenye uchumi wa taifa wakati wa uongozi wa awamu ya tano.

Ni dhahiri kabisa kulikosekana maona na waonaji kwenye utawala ule na ndio maana Mambo yalienda ndivyo sivyo na matokeo yake ndio haya.

Tumshukuru Mungu utawala ule umekoma lakini tuweke matarajio chanya kwa utawala huu Hali tukiendelea kukazana kujenga uchumi kila mmoja kwa nafasi yake huku Mungu akiwa ndie mwongozaji.
Watu walikuwa wanaona..shida jiwe alikuwa mbabe sana,,hakubali kushindwa,atafanya lolote ili tu awe safe side bila kuangalia anawaathiri vipi raia wake.
 
Natafuta data nikuwekee hapa.. kwa miaka mitano Magu serikali imokopa zaidi ya 12 Trillioni.. na hii ipo kwenye financials za serikali, ni liabilities ya serikali ambao wameikopa kwa mifuko ya hifadhi..
Hongera Sana Mkuu kwa uchambuzi wa Maana.

Suala la mifuko NSSF na PSSSF Ni nyeti, imeumiza Watanzania wengi.

Ikibidi, ufungulie thread yake, na ipewe uzito na mods ...ili Mh. Rais apate ujumbe.

Wafanyakazi wa NSSF wanapandisha mabega.

Pili wanakula Rushwa
 
Asante sana, na hongera sana mleta mada kwa bandiko lililokwenda shule.
Unaweza kutuletea sector by sector contribution to economy ili tuweze kujua ni sector zipi ziliboom wakati wa Jakaya na sector gani ziliboom wakati wa JPM?
Ntafanya hivo, ila kwa Magufuli sekta ambayo ilifanya vizuri ni sekta ya Ujenzi, ambayo ndo imekuwa ni driver ya uchumi wa Magufuli kwa miaka 5 iliyopita, enzi ya Kikwete naweza sema sekta zote ziikuwa vibrant ndo maana watu walikuwa na pesa mfukoni.
 
Hongera Sana Mkuu kwa uchambuzi wa Maana.

Suala la mifuko NSSF na PSSSF Ni nyeti, imeumiza Watanzania wengi.

Ikibidi, ufungulie thread yake, na ipewe uzito na mods ...ili Mh. Rais apate ujumbe.

Wafanyakazi wa NSSF wanapandisha mabega.

Pili wanakula Rushwa
Naona na kikotoo ndo kilikuwa kimekaribia. 2022 tu.
 
Watu walikuwa wanaona..shida jiwe alikuwa mbabe sana,,hakubali kushindwa,atafanya lolote ili tu awe safe side bila kuangalia anawaathiri vipi raia wake.
Ni kweli, Mimi nimejiuliza Sana hatma yetu na yake Kama isingetokea Hilo.
Lakini kwa hakika tungekuwa na nyakati mbaya mno kuliko wakati uliopo uliopita na ujao!
 
Ndugu mleta mada binafsi nimekuekewa kwa uchambuzi wako huu kwenye uchumi wa taifa wakati wa uongozi wa awamu ya tano.

Ni dhahiri kabisa kulikosekana maona na waonaji kwenye utawala ule na ndio maana Mambo yalienda ndivyo sivyo na matokeo yake ndio haya.

Tumshukuru Mungu utawala ule umekoma lakini tuweke matarajio chanya kwa utawala huu Hali tukiendelea kukazana kujenga uchumi kila mmoja kwa nafasi yake huku Mungu akiwa ndie mwongozaji.
Mbaya zaidi, ni yeye kujifanya anajua kila kitu... aiseee watanzania itabidi tuwe makini sana huko mbeleni.... hii nchi ilikuwa ishafika point inaenda kuparanganyika.. ni kama miujiza imetendeka... halafu wale wapuuzi wanaongea mambo ya kufuta ukomo wa uraisi.. aiseeee
 
Back
Top Bottom