Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nisamehe mkuu... leo ndo mwisho
Hizi ndio aina za thread zinazotakiwa kuwepo jukwaa la siasa 👏👏👏,
at least watu wasio na interest ya vyama nao wapate kutoa mawazo yao pasipo kuwekwa katika ligi za kutetea vyama badala ya maslahi ya kitaifa ..
Ubarikiwe kwa muda wako mkuu
Watu walikuwa wanaona..shida jiwe alikuwa mbabe sana,,hakubali kushindwa,atafanya lolote ili tu awe safe side bila kuangalia anawaathiri vipi raia wake.Ndugu mleta mada binafsi nimekuekewa kwa uchambuzi wako huu kwenye uchumi wa taifa wakati wa uongozi wa awamu ya tano.
Ni dhahiri kabisa kulikosekana maona na waonaji kwenye utawala ule na ndio maana Mambo yalienda ndivyo sivyo na matokeo yake ndio haya.
Tumshukuru Mungu utawala ule umekoma lakini tuweke matarajio chanya kwa utawala huu Hali tukiendelea kukazana kujenga uchumi kila mmoja kwa nafasi yake huku Mungu akiwa ndie mwongozaji.
Vyovyote vile bora limefukiwaKwa ticket ya corona
Shujaa wa Africa?Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni , tushukuru Mungu kwa makubwa yake na kumchukua shujaa wa taifa na Africa kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana Mkuu kwa uchambuzi wa Maana.Natafuta data nikuwekee hapa.. kwa miaka mitano Magu serikali imokopa zaidi ya 12 Trillioni.. na hii ipo kwenye financials za serikali, ni liabilities ya serikali ambao wameikopa kwa mifuko ya hifadhi..
Ntafanya hivo, ila kwa Magufuli sekta ambayo ilifanya vizuri ni sekta ya Ujenzi, ambayo ndo imekuwa ni driver ya uchumi wa Magufuli kwa miaka 5 iliyopita, enzi ya Kikwete naweza sema sekta zote ziikuwa vibrant ndo maana watu walikuwa na pesa mfukoni.Asante sana, na hongera sana mleta mada kwa bandiko lililokwenda shule.
Unaweza kutuletea sector by sector contribution to economy ili tuweze kujua ni sector zipi ziliboom wakati wa Jakaya na sector gani ziliboom wakati wa JPM?
Sawa mkuu, ngoja nifute embuMkuu Naantombe uko vizuri ila Mimi Toosweet si mnyonge.
Binafsi naamini hivo pia, tulikuwa tumefika pabaya sana kwa kweli.. anyway lakiniMimi na wengine wengi hapa mpaka Leo tunaamini hivi.
Naona na kikotoo ndo kilikuwa kimekaribia. 2022 tu.Hongera Sana Mkuu kwa uchambuzi wa Maana.
Suala la mifuko NSSF na PSSSF Ni nyeti, imeumiza Watanzania wengi.
Ikibidi, ufungulie thread yake, na ipewe uzito na mods ...ili Mh. Rais apate ujumbe.
Wafanyakazi wa NSSF wanapandisha mabega.
Pili wanakula Rushwa
Walikuwa na lao kichwani .kumbuka kipnd ambacho angeongezewa mda ni mwendo wa wao pia kupita bila kupingwa.JPM ametwaliwa ili watanzania milioni 60 wapone imagine angeendelea kwa miaka mitano nchi ingekuwaje? Na wale wapuuzi wengine walitaka atawale miaka 20 zaidi Mungu akasema nitaliponya taifa langu Tanzania.
Ni kweli, Mimi nimejiuliza Sana hatma yetu na yake Kama isingetokea Hilo.Watu walikuwa wanaona..shida jiwe alikuwa mbabe sana,,hakubali kushindwa,atafanya lolote ili tu awe safe side bila kuangalia anawaathiri vipi raia wake.
Mbaya zaidi, ni yeye kujifanya anajua kila kitu... aiseee watanzania itabidi tuwe makini sana huko mbeleni.... hii nchi ilikuwa ishafika point inaenda kuparanganyika.. ni kama miujiza imetendeka... halafu wale wapuuzi wanaongea mambo ya kufuta ukomo wa uraisi.. aiseeeeNdugu mleta mada binafsi nimekuekewa kwa uchambuzi wako huu kwenye uchumi wa taifa wakati wa uongozi wa awamu ya tano.
Ni dhahiri kabisa kulikosekana maona na waonaji kwenye utawala ule na ndio maana Mambo yalienda ndivyo sivyo na matokeo yake ndio haya.
Tumshukuru Mungu utawala ule umekoma lakini tuweke matarajio chanya kwa utawala huu Hali tukiendelea kukazana kujenga uchumi kila mmoja kwa nafasi yake huku Mungu akiwa ndie mwongozaji.