Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

Mwanaume wa Dar Huyo Hana analojua zaidi ya kula chips!

Huyo Baba levo nimemjua Ni star tangu enzi hizo anaishi kwao Mwanga (Msufini). Anapiga show Lake TanGanyika Beach wahuni tunazama kwa kuogelea.
Na mwanae gazbuti hah
 
Dogo Kwani Dar ni mjini !!!

Umewahi kufika hata Durban (South Africa) uone miji.


Ukute unaishi Sinza ya Tandale kwenye vinyesi unajiona uko mjini [emoji3]
Mkuu tukiwa tunaongea mambo ya mjini usiwe unaitaja Kigoma..unazingua
 
Shigongo.
 
Dogo Kwani Dar ni mjini !!!

Umewahi kufika hata Durban (South Africa) uone miji.


Ukute unaishi Sinza ya Tandale kwenye vinyesi unajiona uko mjini [emoji3]
Dar ni moja kati ya majiji bora Afrika,
 
Sijajua kwa wengine ila mtoe Jonijo.
 
Wengi hapo sio super stars wala celebrities. Ni IG influencers tu unless usijue ni nini maana ya kuwa star

wengine kama

Hamisa alipata mileage zaidi ila sio kwamba alikuwa hajulikani. Toka 2011 miss Tanzania, modelling, video vixen, bongo movies etc

Zari ametengenezewa fan base ya bongo ila Kenya na Uganda tayari alikuwa anajulikana kama East Africa richest socialite hata kabla ya Kudate na Diamond

Jonijo mtoe, tayari alikuwa na fan base kubwa on youtube na IG . Hakuchukuliwa from the scratch kama aliyaah ambaye ukiniambia ni star ntakushangaa
 
Dar ni moja kati ya majiji bora Afrika,
Umetembea majiji gani wewe zwazwa ?

Umewahi kufika walau Nairobi au Cairo?


Nenda hapo Kigali uje uone Dar ilivyo chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…