bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Kigoma hiyo, na ajiulize Kama alkuwa hafahamiki ile nyimbo ya kigoma all stars aliitwa vipi!Wewe umemjua baba levo sinza wenzio tunamjua kuanzia Yuko primary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigoma hiyo, na ajiulize Kama alkuwa hafahamiki ile nyimbo ya kigoma all stars aliitwa vipi!Wewe umemjua baba levo sinza wenzio tunamjua kuanzia Yuko primary
Mbowe katengenezwa na Kikwete.Elikael Mbowe
Peter Msechu
Haji Manara
Metacha mnata
[emoji3][emoji3]Mbowe katengenezwa na Kikwete.
Genius! NawaongezaLukamba
Kifesi
Director kenny
Kwenu Kigoma huko kabla ajaja mjini.Wewe umemjua baba levo sinza wenzio tunamjua kuanzia Yuko primary
Mwanaume wa Dar Huyo Hana analojua zaidi ya kula chips!Kigoma hiyo, na ajiulize Kama alkuwa hafahamiki ile nyimbo ya kigoma all stars aliitwa vipi!
Dogo Kwani Dar ni mjini !!!Kwenu Kigoma huko kabla ajaja mjini.
Na mwanae gazbuti hahMwanaume wa Dar Huyo Hana analojua zaidi ya kula chips!
Huyo Baba levo nimemjua Ni star tangu enzi hizo anaishi kwao Mwanga (Msufini). Anapiga show Lake TanGanyika Beach wahuni tunazama kwa kuogelea.
Yes Gazbut !Na mwanae gazbuti hah
Mkuu tukiwa tunaongea mambo ya mjini usiwe unaitaja Kigoma..unazinguaDogo Kwani Dar ni mjini !!!
Umewahi kufika hata Durban (South Africa) uone miji.
Ukute unaishi Sinza ya Tandale kwenye vinyesi unajiona uko mjini [emoji3]
Shigongo.Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.
Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.
Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
Lukamba
Kifesi
Director kenny
................
Nitaendelea
Unaongea Kama MKE wake vile endelea kupaka mafuta fimbo ikuchapeDiamond Kigoma jina tu, kazaliwa mjini kakulia mjini.
Acha uongo labda ninyi ni wa one media show, jonijo alikuwa vizuri tu kablaExactly, before kuchukuliwa na Mondi hakuna aliyemjua.
Dar ni moja kati ya majiji bora Afrika,Dogo Kwani Dar ni mjini !!!
Umewahi kufika hata Durban (South Africa) uone miji.
Ukute unaishi Sinza ya Tandale kwenye vinyesi unajiona uko mjini [emoji3]
Sijajua kwa wengine ila mtoe Jonijo.Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.
Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music Africa.
Rayvanny
Zuchu
Harmonize
Lavalava
Hamisa Mobetto
Tanasha
Baba Levo
Juma Lokole
Mwijaku
Zari the Bosslady
Aliyah
Jonijoo
Carymastory
Esma Platnumz
Mzee Abdul
Uncle Shamte
George Ambangile
Lukamba
Kifesi
Director kenny
................
Nitaendelea
Umetembea majiji gani wewe zwazwa ?Dar ni moja kati ya majiji bora Afrika,
Mimi nilikuwa namjua.Exactly, before kuchukuliwa na Mondi hakuna aliyemjua.