Halafu kukaa mikono salama zilisaidia nini zaidi ya umaskini kuongezeka tu. Si bora zichimbwe daily ili mzunguko wa pesa uwe mkubwa na we ukiwa na akili uweze kuchangamkia fursa hizo.Ni kweli lakini walizilinda ilu tufaidike nazo!!?au wafaidike kanisa kubwa KWA malengo yao ya millenia!!?
Coz hizi rasilimali zilizopo hazijawahi kuwa msaada kwa wat wa kawaida bali zikilindwa zinalindwa KWA ajili ya uchumi wa kanisa kubwa tu sio watz!!
Mfano Bandari ilikua ni pango la wajanja na taasisi kupitisha mzigo Bure bila kodi ndio maana ya zile nyaraka za kanisa kubwa lakini tangu zamani hawakuandika nyaraka A Ubadhirifu wa Bandari hiyo na watz kutonufaika ipasavyo lakini kwasababu walikua wanufaika wakakaa kimya!!
Sasa bas kuna watz wataona Bora tukose wote coz hata wazawa na kanisa ni wanyonyaji wakuu!!!
Nafikiri hivyo!!
Hujui nyerere na magufuli ndo walitutia umaskini. Jpm akasababisa machinga wakatapakaa nchi nzima tena wasomi. Sasa hivi umachinga tumeshauacha mana ilikuwa lasna. Mama kaweka mazingira mazuri ya biashara za kueleweka siyo umachinga wa jpm