mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Wagalatia mtahangaika sanaaaa
Mama ni mpaka 203000000 hukoooooo
Umri ukiwepo
Mama ni mpaka 203000000 hukoooooo
Umri ukiwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma-ushungi ndiye mbovu kweli kweli kwenye kuuza na kuwadanganya watanzania kuwa hatuwezi kufanya chochote bila kuuza au kukodisha kwa watu. CCM walifanya makosa sana kuchukuwa makamu wa rais wa dizini hii.Tafafhali sana Nyerere huwezi kumfananisha na yeyote iwe ndani au nje ya nchi kwa suala La kulinda mali za Umma. Case closed
Bakwata si ni kanisa tu? Au ulikua hujui bwashee?Wewe ndo umepuyanga kusikojulikana, ustadh tambua kwamba dpworld haiji kubadili sheria zetu za kodi...misamaha kwa taasisi za kidini iko pale pale kisheria.
Punguza chuki kwa kanisa kubwa, BAKWATA siunaona huwa wanaingiza tende za misaada makontena kwa makontena?!.
Kwa madeni makubwa aliyokopa Samia , Rais anayefuata 2025 atakuwa na mzigo mzito . Marais wa hizo awamu ulizotaja ni mabingwa wa kukopa . Kukopa sio Neema. Kukopa ni laana .Ukweli halisi ingawa mnauficha na kuupinga sana lakini ndio ukweli halisi, awamu zote za marais wa kiti moto basi ni shida kwa kwenda mbele,
Na hilo mnalijua na kulikiri ndani ya mioyo yenu ila udini unawazidi nguvu
Hakuna awamu zenye raha na neema kama ya pili, inne na sita, na hakika hilo mnalikubali japi kimoyomoyo
Endeleeni kujidanganya ila mjue mficha uchi hazai
Bad enough,Kwa madeni makubwa aliyokopa Samia , Rais anayefuata 2025 atakuwa na mzigo mzito . Marais wa hizo awamu ulizotaja ni mabingwa wa kukopa . Kukopa sio Neema ni laana .
Sasa zilitusaidia nini zikiwa salama. Si bora zichimbwe tu au kuibiwa kuna wachache watafidika na mzunguko wa pesa utakuwa mkubwa mana watakunywa bia kwa sana na kuhonga madada poa.Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!
Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.
Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk
Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,
Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,
NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,
Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk
Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga na kutapanya raslimali za nchi ni haielezeki!!
Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Salaam, Shalom!!!

Umewahi kusoma Zoogeographical distribution??Kuhamisha wanyama kutoka serengeti mpaka kwenye zoo yake binafsi,stupid idea
Tatizo wagalatia mnafichiana sana mabaya, yaani hata yesu hapendi, ukweli usemwe,Kwa madeni makubwa aliyokopa Samia , Rais anayefuata 2025 atakuwa na mzigo mzito . Marais wa hizo awamu ulizotaja ni mabingwa wa kukopa . Kukopa sio Neema. Kukopa ni laana .
Kwamba unaomba support sio!!
Aje atoe ufafanuzi maana anasema yeye yuko kwenye dini ya mwenyezi Mungu.Kwamba unaomba support sio!!
Yesu anafahamika hata katika uislamu,Aje atoe ufafanuzi maana anasema yeye yuko kwenye dini ya mwenyezi Mungu.
mdukuzi kifo Cha MAGU ni hasara kubwa sana Kwa nchi hii,umeona kripu ya Aweso na hao mameneja wa dawasa?upuuzi kama huo ukitumbua unakuwa katili na dikteta? tunakazi sana sisi tunaotegemea huduma zao.Kwenye sekta ya ujenzi wa miundimbinu Magu hana mpinzani tangu nchi ipate uhuru,tatizo ni ukatili na kutopenda kukosolewa,kuua demokrasia na ubabe,hata Hitler na Kagame ni hivyo hivyo,wamejenga nchi zao ila ukijisahau ukamkosoa umepotea,hicho ndio kilimuharibia Magu
AhahahahaHalafu ukiuliza swali,
Kwamba haya yanafanyika Kwa Ilani ipi,
Wanatoka na kudai wao ni viziwi🤔
ccm wote ni wale wale. Bila Katiba Mpya tumekwisha!Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏