Tuweke rekodi sawa, Chini ya Hayati Nyerere na Magufuli, Rasilimali za nchi zilikaa katika mikono salama

Halafu kuhusu Uzalendo wa Magu, umeamua kumkwepa Lisu aliyemkubali?
Hili neno "uzalendo" lisitumike isivyo.
Kiongozi anayetaka kuwaondoa wengine kwa njia zisizo za kiutu, siutambui huo kuwa 'uzalendo'. Hili ni moja kati ya machache yaliyomwondolea Magufuli heshima hiyo.
 
Hayo siyo maneno ya rahisi rahisi kuzungumzwa na mtu kama Tundu Lissu, akimuelezea mtu Magufuli, ambaye katika hali ya kawaida ya kibinaadam kabisa usingetegemea kuyasikia. Hapa hakuna kupakana mafuta kwa chupa.
Ni Kweli amekiri hadharani kuwa Magu alikuwa na makandokando yake, lakini kuhusu Bandari asisingiziwe,

Utakumbuka, chawa walianza kusema Eti Magu ndiye aliyeanza MIKAKATI wa kuuza bandari Kwa waarabu, aliyepo akamalizia deal.

Hypocrite Si watu!!
 
Salaam, Shalom!!!

Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!

Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!

Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.

Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk

Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,

Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,

NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,

Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk

Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga ni haielezeki!!

Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏
Labda mnasahau kile Kitalu C cha Manyara, kilitolewa amri na Samia ya kutoendelea kuguswa, kulikoanza chini ya mwendazake.

Ova
 
Mikataba ya Serikali ya CCM haijawahi kuwa mizuri na huyu Mama ni muendelezo tu.
Lissu amesema mikataba yote anaijua na ameipitia,

Ila IGA ya bandari na DP World ni hatari!!
 
Labda mnasahau kile Kitalu C cha Manyara, kilitolewa amri na Samia ya kutoendelea kuguswa, kulikoanza chini ya mwendazake.

Ova
Hapo Muulize Mzee wa msoga na Hayati Mwinyi!!
 
Yaan km Mungu angekuwa anaonekana tungeandamana Magu afufuliwe Aisee!!

Achana na Mwamba alipiga kazi muda mfupi tu na kazi ilionekana daah!!

Eeh!! Mungu mpumzishe Kwa amani JPM
 
Weka ushahidi hapa?!
Ushahidi ni IGA, ipitie mwanzo mwisho uone kama Pana ukomo wa mkataba Ule.

Professor Shivji, TUNDU Lissu, Dr Slaa, Mwabukusi na wataalamu wengine kumbe hukuwaelewa!!
 
Salaam, Shalom!!!

Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!

Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!

Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.

Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk

Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,

Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,

NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,

Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk

Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga ni haielezeki!!

Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏
Kweli kabisa ndugu yangu, japo utapingwa sana lakini ukweli ni huo.
 
Wengine watahangaika kukusanya na kutunza Kwa vizazi vijavyo,

Wengine wakija,wao ni starehe, kuzurura, kukopa na kuuza na kutapanya Kisha wanawaachia matatizo watakaopewa kijiti baada Yao.

Kuna tatizo kubwa sana katika ugatuzi wa madaraka Toka kiongozi huyu na yule!!

Suluhu ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote!!
 
Hili neno "uzalendo" lisitumike isivyo.
Kiongozi anayetaka kuwaondoa wengine kwa njia zisizo za kiutu, siutambui huo kuwa 'uzalendo'. Hili ni moja kati ya machache yaliyomwondolea Magufuli heshima hiyo.
Hata Mimi neno Uzalendo limetumika tu katika kulinda na kutunza raslimali za nchi.

Kuondoa uhai wa innocent people Si Uzalendo, japo kutokomeza ujambazi wa kutumia silaha au kuwafuta wauza dawa za KULEVYA Ili kulinda vijana ambao ndio nguvu KAZI ya Taifa, huo ni Uzalendo uliotukuka!!
 
Mmmmhhh Mikono salama ya kina BASHITE na SIR-BUYER aka EAGLE THREE?
Si katika Upande huo,

Mikono salama, ni katika kutunza na kulinda Raslimali za nchi, mfano, mkataba wa Bandari wa bagamoyo, aliachiwa na 004, akaukataa sababu ulikuwa Hauna manufaa Kwa nchi.
 
Ile siyo zoo hiyo ilikuwa runch ya mifugo ng'ombe na mbuzi hapo hapajawahi kuwa na hoteli,Leo kafa Kila ujinga atasingiziwa,mdukuzi na kuhakikishia MAGU angedumu kipindi chote cha pili Leo nchi ingekuwa kama ulaya.
Kwenye sekta ya ujenzi wa miundimbinu Magu hana mpinzani tangu nchi ipate uhuru,tatizo ni ukatili na kutopenda kukosolewa,kuua demokrasia na ubabe,hata Hitler na Kagame ni hivyo hivyo,wamejenga nchi zao ila ukijisahau ukamkosoa umepotea,hicho ndio kilimuharibia Magu
 
Salaam, Shalom!!!

Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!

Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!

Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.

Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk

Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,

Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,

NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,

Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk

Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga na kutapanya raslimali za nchi ni haielezeki!!

Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏
Umenena vema. Lakini waTanganyika wa leo ambao kujua tu kwamba sisi ni waTanganyika imeshindikana tutajua umhimu wa katiba? Jana nilikuwa naangalia katiba inayotuongoza nikakuta katiba 2 moja ya nchi inayoitwa ZANZIBAR nikatafuta ya nchi nyingine inayoitwa TANGANYIKA iliyoungana na ZANZIBAR kutengeneza umoja wetu sikuiona. Nikakuta nchi yangu inaongozwa na katiba inayoongoza nchi 2 nikakosa majibu. Mtu akiuliza, kuna watu wanakasirika na wengine ukiwauliza wanaishia kusema ninyi wapinzani, tunapinga nn kati ya mm na wewe uliyerogwa kuitwa mTanzania wakati wenzio wanaitwa waZanzibar?
 
Salaam, Shalom!!!

Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!

Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!

Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.

Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk

Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,

Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,

NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,

Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk

Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga na kutapanya raslimali za nchi ni haielezeki!!

Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏
Awe Mbowe ama namna gani?
 
Back
Top Bottom