- Thread starter
- #21
Halafu ukiuliza swali,Kwa spidi ya kizimkazi tutafika tumechoka
Kwamba haya yanafanyika Kwa Ilani ipi,
Wanatoka na kudai wao ni viziwi🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukiuliza swali,Kwa spidi ya kizimkazi tutafika tumechoka
Wakati wa utawala wa Magufuli ni maliasili yapi ya Tanzania yalilindwa bila kuchezewa? Pesa zipi za UMMA hazikuibwa.
Ndio hilo kubwa lililomlea Baba wa taifa!Kanisa tena🤔
Sasa Mbona Paroko Ben alizigawa Kwa wageni asiziache Kwa Kanisa?Ndio hilo kubwa lililomlea Baba wa taifa!
Baadhi aliwaachia na kama aliwaachia wageni ni kwa baraka ya kanisa kubwa!!Sasa Mbona Paroko Ben alizigawa Kwa wageni asiziache Kwa Kanisa?
Mimi nijuavyo, Kanisa ni mtu, hizi zingine ni mbwembwe tu.Baadhi aliwaachia na kama aliwaachia wageni ni kwa baraka ya kanisa kubwa!!
Unajuaje hao wageni sio wabia wa kanisa kubwa!!?
Mkuu umezaliwa kipindi cha ukweli na uwazi nini?Tafafhali sana Nyerere huwezi kumfananisha na yeyote iwe ndani au nje ya nchi kwa suala La kulinda mali za Umma. Case closed
Utasema namchukia ila nikwambia ukweli hakuna kilichohokolewa, yaani kujenga ukuta badala ya kuimarisha sheria na taratibu...wewe unaamini baada ya kujenga ukuta imepunguza uwizi wa Tanzanite? Au Mererani ujawahi kufika?Tanzanite na madini yote kwa ujumla..
Punguza chuki mkuu, mambo aloyafanya JPM ni mengi..
Ndio ninyi Huwa mnaamini Kuna free trade kati ya nchi za Afrika zisizo na viwanda versus china yenye viwanda.Watanzania mtu wa nje akiwekeza kwenye taifa letu tunamuona kama adui hivi
Ni kweli kabisa kiroho ipo hivyo!Mimi nijuavyo, Kanisa ni mtu, hizi zingine ni mbwembwe tu.
Sasa ikiwa hao ndio wamiliki wa Dini zote,Ni kweli kabisa kiroho ipo hivyo!
Lakini hao jamaa ni taasisi ya kiuchumi Duniani yenye malengo yake!!
Mbona Mimi sikuona zikininufaisha kama zilikuwa kwenye mikono salama? Saizi ndio nanufaika ilhali nyie mnasema haziko mikono salama,mpaka hapo Mimi nawezaje kuwaona salama kama sio matapeli au mazuzu?Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!...
Mwalim mpaka anaachia uongozi hakumiliki hata Prado huyo ndio mzarendo wa kweli haya mengine yalipiga sana kelele ya uzarendo huku wakijikusanyia ukwasi mkubwa sana wa Kodi zetuSalaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo...
Hao wawili watajwa hapo juu Wana unafuu Fulani.Mwalim mpaka anaachia uongozi hakumiliki hata Prado huyo ndio mzarendo wa kweli haya mengine yalipiga sana kelele ya uzarendo huku wakijikusanyia ukwasi mkubwa sana wa Kodi zetu
Unachangia mada au unaongea na simu ndugu chawa?Mbona Mimi sikuona zikininufaisha kama zilikuwa kwenye mikono salama? Saizi ndio nanufaika ilhali nyie mnasema haziko mikono salama,mpaka hapo Mimi nawezaje kuwaona salama kama sio matapeli au mazuzu?
Hao unaowakandia wasingefanya ubinafsishaji leo hiiSalaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!
Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.
Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk
Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,
Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,
NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,
Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk
Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga ni haielezeki!!
Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Trillion mbili hazikujulikana ziliko enda, makinikia yaliondoka bila kupata hata mia mpaka leoUmezaliwa lini? Tuanzie hapo kwanza