Tuweke rekodi sawa, Chini ya Hayati Nyerere na Magufuli, Rasilimali za nchi zilikaa katika mikono salama

Halafu kukaa mikono salama zilisaidia nini zaidi ya umaskini kuongezeka tu. Si bora zichimbwe daily ili mzunguko wa pesa uwe mkubwa na we ukiwa na akili uweze kuchangamkia fursa hizo.

Hujui nyerere na magufuli ndo walitutia umaskini. Jpm akasababisa machinga wakatapakaa nchi nzima tena wasomi. Sasa hivi umachinga tumeshauacha mana ilikuwa lasna. Mama kaweka mazingira mazuri ya biashara za kueleweka siyo umachinga wa jpm
 
Dikteta Magu pamoja na maovu yake mengi lakini kwa suala la rasilimali za nchi alikuwa imara na aliamini wazawa tunaweza
 
mdukuzi kifo Cha MAGU ni hasara kubwa sana Kwa nchi hii,umeona kripu ya Aweso na hao mameneja wa dawasa?upuuzi kama huo ukitumbua unakuwa katili na dikteta? tunakazi sana sisi tunaotegemea huduma zao.
Huyu ni mla rushwa mzuri sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…