Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi

Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi

''The Bill makes it mandatory for the plea agreement to be in writing and to fully state the terms of the agreement, the substantial facts of the matter and all other relevant facts of the case and any admissions made by the accused person. ...

..kipengele cha "ku-set aside conviction"

..nilivyoelewa ni kwamba sheria inatoa mwanya kwa DPP kuiomba mahakama kutengua hukumu ambayo ilipatikana kwa njia za udanganyifu.

..kama mshtakiwa alidanganya wakati wa plea-bargain, na mahakama ikatoa hukumu, DPP akigundua hilo anaweza kurudi mahakamani na kuiomba mahakama kutengua hukumu / "set-aside conviction" iliyotolewa.

..Pia mshitakiwa anaweza kurudi kwa hakimu na kudai kuwa plea-bargain haikufikiwa kwa ridhaa yake, au alishinikizwa.

..hivyo ndivyo nilivyoelewa mimi. Naomba kusahihishwa.

cc Kilatha, Nguruvi3
 
..kipengele cha "ku-set aside conviction"

..nilivyoelewa ni kwamba sheria inatoa mwanya kwa DPP kuiomba mahakama kutengua hukumu ambayo ilipatikana kwa njia za udanganyifu...

Hapana aliyeshitakiwa anaweza kumwambia DPP ''my pre bargain ni kwa masharti ya kuweka hukumu kuwa set aside sivyo sikubaliani na shtaka etc. Those are agreements - hizi ni deal kwa pande zote. Unaongelea 1.5 billion sio pesa za karanga hapa! I bet you a nickel ukiipata hiyo agreement, hiyo hukumu ilikuwa set aside.

BTW kumbuka DPP ni seasoned lawyers wanajua kila kona, tafuteni hiyo agreemnet ndio muarobaini wenyewe.
 
Hapana aliyeshitakiwa anaweza kumwambia DPP ''my pre bargain ni kwa masharti ya kuweka hukumu kuwa set aside sivyo sikubaliani na shtaka etc. Those are agreements - hizi ni deal kwa pande zote. Unaongelea 1.5 billion sio pesa za karanga hapa! I bet you a nickel ukiipata hiyo agreement, hiyo hukumu ilikuwa set aside.

..hii nimeitoa kwenye mtandao baada ya kuuliza swali hilo hapo chini.

What does it mean when a conviction is set aside?

Set aside occurs when a judge annuls or negates a court order or judgment by another court. When a criminal conviction is set aside, the person is considered not to have been previously convicted, although sex offender registration requirements may still apply.
 
Huyu kateuliwa na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini, sasa soma hapa chini uone kuwa mbele ya JPM katiba ni karatasi tu;

67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge endapo...
Hii nchi katiba haipo na sisi wananchi hatulijui hilo
 
Set aside occurs when a judge annuls or negates a court order or judgment by another court. When a criminal conviction is set aside, the person is considered not to have been previously convicted, although sex offender registration requirements may still apply.
Mkuu upo sahihi #23.
 
..hii nimeitoa kwenye mtandao baada ya kuuliza swali hilo hapo chini.

What does it mean when a conviction is set aside?

Set aside occurs when a judge annuls or negates a court order or judgment by another court. When a criminal conviction is set aside, the person is considered not to have been previously convicted, although sex offender registration requirements may still apply.
Mkuu to set aside maana yake hukumu iliyotolewa inatenguliwa. It does not matter hiyo hukumu imetolewa wapi? As a matter of fact, hukumu inaweza kutolewa kimakosa, na mlalamikaji akaomba mahakama kui set aside hiyo hukumu, in normal circumstances kesi ikiamuliwa kwenye mahakama ndogo unakata rufaa ili ile hukumu iwe set aside. ie itenguliwe, ni lugha tu. (Hukumu huwa haifutwi bali inakuwa set aside).

Kwenye plea bargain ni makubaliano ndio sababu nikasema pande zote mbili lazima zikubaliane (agreement) hivyo basi kuna uwezekano kabisa kosa la kutokulipa 1.5 billioni lilikuwa set aside kutokana na makubaliano.
 
Naona hakuhukumiwa katu magu asingemuacha na vile hawapendi watu wanaoshirikiana na mabeberu kutuhujumu..siijui Sheria vizuri Ila nadhani kamati kuu walijiridhisha kua iko oky
 
Mkuu to set aside maana yake hukumu iliyotolewa inatenguliwa. It does not matter hiyo hukumu imetolewa wapi? As a matter of fact, hukumu inaweza kutolewa kimakosa, na mlalamikaji akaomba mahakama kui set aside hiyo hukumu, in normal circumstances kesi ikiamuliwa kwenye mahakama ndogo unakata rufaa ili ile hukumu iwe set aside..

..Mwanyika akirudi mahakamani "kutengua" his plea-bargain maana yake anaanza kusumbuana upya na DPP na mahakama.

..Na angekuwa amefanya hivyo nadhani vyombo vya habari vingekuwa na taarifa zake.

..Hili suala ni very interesting kwasababu aliyemuwekea pingamizi Deo Mwanyika naye ni mwanasheria.
 
Hivi watu wanachotetea ni nini hapa?

..wanamtetea Deo Mwanyika kwamba ni msafi, mzalendo, na mtetezi wa kweli wa rasilimali zetu.

..pia wanamtetea kwamba hana rekodi ya kuhukumiwa popote,kwa makosa yoyote, ndiyo maana akateuliwa na CCM kugombea ubunge.
 
Wacha1

Plea Bargaining system to be introduced in Tanzania
  • The Bill introduces plea bargaining in criminal cases
  • Procedures for plea bargaining agreement articulated....
  • Mkuu JokaKuu ,huyo mtu unayejaribu kumwelimisha,haelimishiki.
Mtu anayekwambia kaniki ni nyeusi kwa kuwa ni chafu na si rangi yake,huyo unategemea atakuelewa kweli!?
 
..wanamtetea Deo Mwanyika kwamba ni msafi, mzalendo, na mtetezi wa kweli wa rasilimali zetu.

..pia wanamtetea kwamba hana rekodi ya kuhukumiwa popote,kwa makosa yoyote, ndiyo maana akateuliwa na CCM kugombea ubunge.
Nani anamtetea Deo? Kuna issue mbili.

1) Chadema followers wanasema CCM wamevunja katiba kwa kumruhusu Deo kugombea wakati yeye alihukumiwa.

2) Mimi nimesema waweke ushahidi, hadi hivi sasa Joka kuu anazunguka mbuyu, hana ushahidi wowote anaendeleza tuhuma tu sasa kama wewe una ushahidi weka hapa.
 
Sifa ulizozifukia nyumbani kwako?
Katiba inasema hivi ikiwa mtu ametiwa hatiani kwa kosa la kutolipa kodi ya serikali katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya uchaguzi atakuwa amekosa sifa,

Na hiyo mwanyika kwa kukubali hayo mashitaka ikiwemo la kukwepa kulipa kodi ya serikali maana yake ni kwamba ametiwa hatiani kwa kosa la kutolipa kodi ya serikali,
 
Back
Top Bottom