I am serious!! Huyu mgombea si amepitishwa na kudhaminiwa na CCM?? Au ni vyama vya upinzani tu ndio vinawajibika na ikija CCM ndio mgombea anawajibika?? Remember this, vyama vya upinzani ndio wadhamini wa mgombea, hatuna mgombe huru/binafsi.
Usiishie kuuliza "Are you serious?" Nenda mbele zaidi na kusema kama kama Mwanyika ametimiza masharti au la. When you think outside the box, you can choose to be far from it. Being outside does not restrict you to a particular distance! The farther away, the better!!