''The Bill makes it mandatory for the plea agreement to be in writing and to fully state the terms of the agreement, the substantial facts of the matter and all other relevant facts of the case and any admissions made by the accused person. ...
..kipengele cha "ku-set aside conviction"
..nilivyoelewa ni kwamba sheria inatoa mwanya kwa DPP kuiomba mahakama kutengua hukumu ambayo ilipatikana kwa njia za udanganyifu...
Hapana aliyeshitakiwa anaweza kumwambia DPP ''my pre bargain ni kwa masharti ya kuweka hukumu kuwa set aside sivyo sikubaliani na shtaka etc. Those are agreements - hizi ni deal kwa pande zote. Unaongelea 1.5 billion sio pesa za karanga hapa! I bet you a nickel ukiipata hiyo agreement, hiyo hukumu ilikuwa set aside.
Hii nchi katiba haipo na sisi wananchi hatulijui hiloHuyu kateuliwa na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini, sasa soma hapa chini uone kuwa mbele ya JPM katiba ni karatasi tu;
67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge endapo...
Mkuu upo sahihi #23.Set aside occurs when a judge annuls or negates a court order or judgment by another court. When a criminal conviction is set aside, the person is considered not to have been previously convicted, although sex offender registration requirements may still apply.
Mkuu to set aside maana yake hukumu iliyotolewa inatenguliwa. It does not matter hiyo hukumu imetolewa wapi? As a matter of fact, hukumu inaweza kutolewa kimakosa, na mlalamikaji akaomba mahakama kui set aside hiyo hukumu, in normal circumstances kesi ikiamuliwa kwenye mahakama ndogo unakata rufaa ili ile hukumu iwe set aside. ie itenguliwe, ni lugha tu. (Hukumu huwa haifutwi bali inakuwa set aside)...hii nimeitoa kwenye mtandao baada ya kuuliza swali hilo hapo chini.
What does it mean when a conviction is set aside?
Set aside occurs when a judge annuls or negates a court order or judgment by another court. When a criminal conviction is set aside, the person is considered not to have been previously convicted, although sex offender registration requirements may still apply.
OK, kwahiyo unalipa ulichoiba siyo ulichotaka kwasababu tayari ulishachukua.Unakubali hatia lakini hakuna hukumu! Ndio makubaliano hayo, ie unapunguza usumbufu na mahojiano ya hapa na pale then unalipa gharama zote za mahakama na ulichotaka kuiba then mchezo umekwisha.
Umesoma na kufahamu hizo pesa zilikuwa za nini?OK, kwahiyo unalipa ulichoiba siyo ulichotaka kwasababu tayari ulishachukua.
Mkuu to set aside maana yake hukumu iliyotolewa inatenguliwa. It does not matter hiyo hukumu imetolewa wapi? As a matter of fact, hukumu inaweza kutolewa kimakosa, na mlalamikaji akaomba mahakama kui set aside hiyo hukumu, in normal circumstances kesi ikiamuliwa kwenye mahakama ndogo unakata rufaa ili ile hukumu iwe set aside..
Hivi watu wanachotetea ni nini hapa?
Wacha1
Plea Bargaining system to be introduced in Tanzania
- The Bill introduces plea bargaining in criminal cases
- Procedures for plea bargaining agreement articulated....
Nani anamtetea Deo? Kuna issue mbili...wanamtetea Deo Mwanyika kwamba ni msafi, mzalendo, na mtetezi wa kweli wa rasilimali zetu.
..pia wanamtetea kwamba hana rekodi ya kuhukumiwa popote,kwa makosa yoyote, ndiyo maana akateuliwa na CCM kugombea ubunge.
Sifa ulizozifukia nyumbani kwako?Hivyo basi mwanyika kakosa sifa za kuwa mbunge
Soma sheria uielewe then njoo kwenye mada. Usikurupuke kama nguruwe.OK, kwahiyo unalipa ulichoiba siyo ulichotaka kwasababu tayari ulishachukua.
Katiba inasema hivi ikiwa mtu ametiwa hatiani kwa kosa la kutolipa kodi ya serikali katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya uchaguzi atakuwa amekosa sifa,Sifa ulizozifukia nyumbani kwako?