Kama una uhakika walishindwa kutimiza masharti kwanini ulikataa kuwapa fomu ya rufaa? badala yake unakimbilia kuombea amani wakati mwenyewe unahatarisha amani.Sheria zipo wazi na sio JPM kazi yake kuzitafsiri, mimi nilisema CCM sio wajinga wanafahamu wanavyofanya, sasa nyie kama mna ushahidi sheria zimevunjwa, si muende mahakamani mnangoja nini? Huko ndio kwenye suluhisho...
Sheria gani mimi siijui Tanzania hii? Hebu tajaMkuu sasa si ukawaambie CCM maoni yako? Sheria zenyewe hufahamu umebaki kulalama tu.
Sheria ya plea bargain inasemaje?
Plea bargain inahusiana na adhabu. Sio makubaliano kama mtu ahukimiwe kutenda kosa au kutotenda kosa. Plea bargain hufanywa na washitaki, sio hakimu. Makubaliano hayo hufikishwa kwa hakimu na washitaki na hakimu hukibali au kukaa.
CCM wanapaswa kueleza kama Mwanyika alishtakiwa na kutiwa hatiani kwa makosa ya kukwepa kodi. Point hapa ni hukumu, sio malipo ya fedha au kifungo au kutokuwa gerezani!
Tatizo chadema wanajikita kulalamika mtandaoni , kitendo cha kukubali kulipa faini ni wazi alishiriki ukwepaji kodi na kama hakushiriki asingelipa kwanini wanashindwa kufata sheria wanabaki kulalamikaNani anamtetea Deo? Kuna issue mbili.
1) Chadema followers wanasema CCM wamevunja katiba kwa kumruhusu Deo kugombea wakati yeye alihukumiwa.
2) Mimi nimesema waweke ushahidi, hadi hivi sasa Joka kuu anazunguka mbuyu, hana ushahidi wowote anaendeleza tuhuma tu sasa kama wewe una ushahidi weka hapa.
Hivi watu wanachotetea ni nini hapa?
I am serious!! Huyu mgombea si amepitishwa na kudhaminiwa na CCM?? Au ni vyama vya upinzani tu ndio vinawajibika na ikija CCM ndio mgombea anawajibika?? Remember this, vyama vya upinzani ndio wadhamini wa mgombea, hatuna mgombe huru/binafsi.Are you serious?
Your problem is looking at this issue from your perspective view rather than what the law says in regard to criminal activities. Deo fulfilled the requirements needed to be a contender in the coming elections. If you think otherwise the door is open for you to initiate criminal investigations.I am serious!! Huyu mgombea si amepitishwa na kudhaminiwa na CCM?? Au ni vyama vya upinzani tu ndio vinawajibika na ikija CCM ndio mgombea anawajibika?? Remember this, vyama vya upinzani ndio wadhamini wa mgombea, hatuna mgombe huru/binafsi.
Usiishie kuuliza "Are you serious?" Nenda mbele zaidi na kusema kama kama Mwanyika ametimiza masharti au la. When you think outside the box, you can choose to be far from it. Being outside does not restrict you to a particular distance! The farther away, the better!!