Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi.

Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
 
Nenda jimboni kwake ukonga ukaone vituko.
 
Back
Top Bottom