Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

[emoji23][emoji23][emoji23].....

nimejikuta nacheka sana,hawa jamaa inahitajika umakini mkubwa wa kucheza nao kwa akili..huwa wanaangalia maslahi zaidi + kutapeli.
Kwenye hela ni watu wengine,hawachezei furksa wakishazoea watakupiga hadi ubaki maskini..japo kuna wengine ni wapigaji wazuri huku wanaongeza mtaji.

Kuna wazee flani kilema huko nilikuwa natafuta kiwanja waniuzie ila hawatoi.
 
I'm failing to get a simpler definition of 'Wachaga' without insulting them. Niishie hapo tu. Nikiwaelezea Sana nitapigwa bann ya milele[emoji28]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa bahati mbaya jirani hana option. Atakayekuwepo karibu ndiye atakuwa jirani. Au Kama Kuna namna ya ku opt tuwekee Hapa.
Nunua viwanja vyote vya karibu halafu zungusha barabara kuzunguka kwako ili upakane na njia pande zote nne!
 
Wahaya tumetulia asee, hatuna Mambo hayo. Mimi nipo mahali miaka ya teenage na Sina ugomvi na majirani. Hata wahaya ninaowafaham hapa mjini hawana ugomvi na majirani zao, wanashirikiana vizuuri
usibishane brother anachoongea ni ya kweli....mimi ni muhaya typically ila nenda kijijini ukashuhudie kesi za mashamba huwa haziishi ni kuibiana na maanisha kuvuka mipaka ya shamba la mtu. hilo sio geni kwangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…