Tuweke ushabiki pembeni, kuna kitu cha kujifunza kutoka Hamas

Tuweke ushabiki pembeni, kuna kitu cha kujifunza kutoka Hamas

Hii itakuwa ni habari mbaya mno kwa MK254 na wajomba zake

Na mimi nakiri ni habari mbaya maana nimetamani sana Israel wapige carpet bombing pale kama ambayo Urusi au China wangefanya, dunia italalamika mwezi mmoja kisha tuongee mengine.
Uwezo huo wanao Israel, ila sijui kwanini wanapoteza muda kwenye hili la kuviziana na magaidi ya dini yenu, ambayo yanajificha nyuma ya watoto na akina mama.
Watu wenye kauli hii mnapaswa mfutwe tu, eti mfute Wayahudi kisa allah wenu ameamrisha, ushahidi wa uwepo wa huyo allah uko wapi.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Wapalestina ugaidi wao nini?? Ushasikia hata siku moja wapalestina wameenda kupigana vita marekani au ulishasikia wameenda uingereza kuleta fujo,, au hata misri iliyopakana nayo?? Usiwe bwege kila unachokisikia kutoka Amerika basi we ndio,, unajua maana ya ugaidi wewe? Upi ugaidi wa wapalestina..
Mkuu mbona hasira hvo?HV walichfanya tareh 7 octoba kwako 8likuwa sahihi na ulienjoy?ushabiki wa kipumbavu kiss dini
 
Israel anapata shida sana kwa sababu anapigana na watu ambao hajui wamejificha wapi. Hamas wangekuwa jeshi kamili kazi ingekuwa ishaisha kitambo sana. Israel akitaka amalize hii vita mazima akubali tu kulaumiwa na dunia nzima.

Ukimpiga Hamasi mmoja anaondoka na raia kadhaa na ndio maana vifo vya raia ni vingi sana
Kabisa
 
Israhell kafanikiwa kuua wasiokua na hatia tu na kuvunja majengo
Nje ya hapo labda atumie nyuklia ila hata afanye nini hii vita israhell hashindi na kama mnajidanganya kama atashinda basi poleni sanaaaaaaaa
 
Unatakiwa kujua kuwa Israel inapigana na mataifa mengi ya Kiarabu ambayo yanawapa backups HAMAS nyuma ya pazia.
Kile ni kikubdi cha kigaidi ambacho hakiwezi kushindana na Nchi ya Israel
Na usichokijua nikwamba hamas wanapigana na mataifa zaidi ya 45 yanayowapa sapoti magaidi wa israhell ila bado wanagongwa za utosi
 
Tuanze na Israel, Taifa kubwa lenye jeshi Imara
1. majeshi ya Israel yanapewa mafunzo ya kisasa na yana vifaa vya kisasa

2. Majeshi ya Israel wanalipwa vizuri sana USD 4000 per week, wanapewa chakula free, matibabu wakiumia free

3. Majeshi ya Israel yana silaha za kisasa kutoka Europe na US tena wanapewa msaada hawanunui

4. Majeshi ya Israel ya vifaru na ndege vita za kisasa kabisa

Tuje kwa Hamas sasa

1. Hamas hawana silaha za maana kwani mipaka yao yote inakuwa controled na Israel hakuna kuingiza silaha yeyote kutoka popote..silaha za hamas wanatengeneza wenyewe bunduki

2. Hamas hawana kifaru hata kimoja na hawana ndege vita hata moja

3. Hamas achilia mbali mishahara lakini pi hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku kwani Israel amezuia hadi vyakula kuingia Gaza

4. Hamas hana misaada, hakuna nchi inayoruhusiwa kuwasaidia Hamas kwa chochote na nchi hiyo ikisaidia Hamas wataitwa magaidi

5. Eneo la Gaza lina ukubwa kuanzia Tegeta hadi Posta kwa hivyo Israel wanaweza kulizunguka ndani ya dakika sifuri wakamaliza kazi yao

MATOKEO SASA UWANAJA WA VITA = ISRAEL 0 HAMAS 3

Pamoja na Israel kuwa na jeshi imara, vifaa vya kisasa, malipo mazuri misaada kila kona but still mpaka sasa kashindwa kuwapata mateka walio chini ya hamas..

Israel kitu pekee wanachoweza ni kupigana na watoto na wanawake tu basi

na pia Israel ni wataalamu wa kuvunja nyumba na hospitali na mashule kwa hapa wamefanikiwa
Mungu yupo
 
Nikiaangalia aljazira pro hamas tv wakijiliza watu pale gaza na nikija angalia wavaa kobazi humu na kanzu chafu wanachoandika unaona kweli ccm inahaki ya kuendelea kututawala miaka 50 mingine
Kama wewe usipotawaliwa na CCM c utaokota makopo
Unatakiwa utawaliwe na CCM mpaka kufa kwako yaaani
 
Na mimi nakiri ni habari mbaya maana nimetamani sana Israel wapige carpet bombing pale kama ambayo Urusi au China wangefanya, dunia italalamika mwezi mmoja kisha tuongee mengine.
Uwezo huo wanao Israel, ila sijui kwanini wanapoteza muda kwenye hili la kuviziana na magaidi ya dini yenu, ambayo yanajificha nyuma ya watoto na akina mama.
Watu wenye kauli hii mnapaswa mfutwe tu, eti mfute Wayahudi kisa allah wenu ameamrisha, ushahidi wa uwepo wa huyo allah uko wapi.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Njoo utufute[emoji3][emoji1787][emoji3]
Israhell inatakiwa ifyekwe tena itoeke kabisaaaa
 
Mkuu mbona hasira hvo?HV walichfanya tareh 7 octoba kwako 8likuwa sahihi na ulienjoy?ushabiki wa kipumbavu kiss dini
Wewe usiokua na dini unaongeleaje jambo walilofanya israhell mwaka 1948
Upumbavu kisa kutokujua mambo
 
Njoo utufute[emoji3][emoji1787][emoji3]
Israhell inatakiwa ifyekwe tena itoeke kabisaaaa

Huu wimbo wa kufuta Wayahudi umeimbwa na 'mungu' wako muhammad ila akajifia na kuwaacha Wayahudi.....
Akili ya Wayahudi ndio imekuwezesha upo hapo unaingia ingia kwenye mitandao ya kijamii uakiandika andika humu umevaa likanzu na kuotesha mindevu eti ufanane na muarabu......hehehehe
 
Na mimi nakiri ni habari mbaya maana nimetamani sana Israel wapige carpet bombing pale kama ambayo Urusi au China wangefanya, dunia italalamika mwezi mmoja kisha tuongee mengine.
Uwezo huo wanao Israel, ila sijui kwanini wanapoteza muda kwenye hili la kuviziana na magaidi ya dini yenu, ambayo yanajificha nyuma ya watoto na akina mama.
Watu wenye kauli hii mnapaswa mfutwe tu, eti mfute Wayahudi kisa allah wenu ameamrisha, ushahidi wa uwepo wa huyo allah uko wapi.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de

Kama wewe ni graduate, kwa hakika ni kutokea jalalani.
 
Kama wewe ni graduate, kwa hakika ni kutokea jalalani.

Wewe si graduate wa madrassa? Utajua nini zaidi ya kuvaa mikanvu na kutosha ndevu eti ufanane na muarabu...
 
Huu wimbo wa kufuta Wayahudi umeimbwa na 'mungu' wako muhammad ila akajifia na kuwaacha Wayahudi.....
Akili ya Wayahudi ndio imekuwezesha upo hapo unaingia ingia kwenye mitandao ya kijamii uakiandika andika humu umevaa likanzu na kuotesha mindevu eti ufanane na muarabu......hehehehe
Hamas waendelee kuwagaragaza mazayuni wa israhell ila wazayuni wa jf mnateseka
Hamas kundi teule kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
 
Wewe si graduate wa madrassa? Utajua nini zaidi ya kuvaa mikanvu na kutosha ndevu eti ufanane na muarabu...
Si bora ujue kuvaa kanzu kuliko kufuata amri ya nabii wenu mamba [emoji23]
 
Mimi ni pro Israel kweli kweli. Ila ni mtu mwenye msimamo wa kujifunza kutoka kwa mtu yeyote hata kama ni adui Yangu

Ukweli ni kwamba safari hii Israel amekutana na kisiki. Vita hii ni ngumu sana kwa Israel. Haijawahi kutokea tangu kuundwa kwa taifa la Israel. Vita zote za nyuma Israel alikuwa akikanyaga tu lakini sio safari hii.

Ukweli ni kwamba GAZA hii Vita waliiomba na wameimudu kwa kweli. Binafsi naona miujiza unahitajika Israel Kushinda hii Vita. Kwa sayansi ya kawaida ni ngumu sana

Pamoja na uharibifu mkubwa wa majengo na vifo, HAMAS wameleta upinzani mkubwa sana

FUNZO: Mimi nasema siku zote don't underestimate mpinzani wako. Wote tumeona jinsi Russia alivyoshindwa vibaya Vita ya Ukraine. Taratibu Vita ya Ukraine na Russia inaelekea ukingoni.

Pia viongozi wajifunze Vita sio Suluhisho. Vita inaleta uharibifu bila sababu za msingi. Tunaua watu, tunaharibu miuondombinu. Tunaingia gharama bila sababu za msingi.

Kwa uzoefu wangu, Vita ni hasara

Hiyo ni vita kati ya nchi na magaidi tofautisha vita kati ya nchi moja na nyingine!!

Israel haijawai pigana vita ya ivo
 
Wapalestina ugaidi wao nini?? Ushasikia hata siku moja wapalestina wameenda kupigana vita marekani au ulishasikia wameenda uingereza kuleta fujo,, au hata misri iliyopakana nayo?? Usiwe bwege kila unachokisikia kutoka Amerika basi we ndio,, unajua maana ya ugaidi wewe? Upi ugaidi wa wapalestina..

Labda tuelimishe maana ya ugaidi!!

Inawezekana mna maana mbili tofauti vichani mwenu
 
Nikiaangalia aljazira pro hamas tv wakijiliza watu pale gaza na nikija angalia wavaa kobazi humu na kanzu chafu wanachoandika unaona kweli ccm inahaki ya kuendelea kututawala miaka 50 mingine
Wee unasema hivyo Kwamba Hamas Au Wapalestina wamevitaka Vita hivi na Wameshinda kumbuka Kuna Mamilioni ya Watu wamekimbia Nyumba Zao na Watu zaidi ya 25,000 Kufa hakuna huduma zozote zinazoendelea hapo Gaza Kabla ya Vita Watu walifanya Maisha Yao na Familia Zao na Mambo Yalienda Kumbuka Sio Wapalestina Wote Wana itikadi Kali za Vita Wengine wanataka Maisha na Maendleo binafsi
Kama unatizama vizuri habari ama kama mnatizama vizuri habari raia wa Palestina wanachosisitiza wao miundombinu ya kiraia isiguswe.
Kama askari wanataka kupigana wapigane na washika silaha sio kuumiza raia.
Pia raia hao hao washasema kheri kufa kuliko kuishi chini ya Zionism occupation.
Kukamata uwanja wa vita hakuangaliwi vifo vya raia bali kunatizama mipango ya vita na idadi ya askari pinzani wanaouliwa.
 
Back
Top Bottom