ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ndio wamecheza pamoja.Morrison kacheza na miq[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Manala alimaliza mkuu. Kule wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na Mzee Manara.Uto bhana yaani kipindi hicho cha akina Miquissone mlikuwa mnasema Simba inapuliza sumu vyumbani Kwa wapinzani hivyo haina ukali wowote.
Leo hii mnasema ile Simba ilikuwa Kali. Kiufupi ni kwamba kinachosemwa na mwana uto Kwa tukio la sasa husikiamini subiria miaka kadhaa akili ikimjia na hapa ndio uthibitisho wa kauli ya Manara unatimia.
Utopolo Mtupu.Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.
Hiyo ndio falsafa ya simba sio kama yanga mbiombio kuchoshana tu,simba inacheza draft inasaka mwizi kimya kimyaBado kuna kitu akipo sawa,hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda mwingi,mipira ikifika kati bado wachezaji wanakaa sana na mipira,Banda anajitahidi sana kupiga pasi mpenyezo.
wanakosa sana magoli ya wazi,mechi ya jana na Kagera walikua washinde hata goli tano.
Hakuna hoja ya kujibu hapo kuna Utopolo tuJibu hoja mkuu au bado upo kwa shemeji unakamua chai
Ushabiki tuweke pembeni tusemezane ukweliHakuna hoja ya kujibu hapo kuna Utopolo tu
Kuna hoja gani ya kujibu hapo zaidi ya hicho kinyesi ulichokitandaza humu jf?Jibu hoja mkuu au bado upo kwa shemeji unakamua chai
Hayanihusu vipi?wewe ni jirani yangu tena mtaniHayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.
Simba ya msimu uliopita na msimu huu ni mbovu hilo halina ubishi.Yaaan ukiangalia comments za Wana utopolo juu ya Simba binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali yafatayo
1. Tangu Lin adui yako akushauri vitu vya kujenga?
2. Je timu yao inatandaza soka la kutisha Sana kias kwamba Wana haki ya kushauri kwa jilani wakaacha yao??
3. Kweli yanga wanakikosi Bora mno mwaka huu?? , kinatofauti gani na kikosi Cha msimu huu??
4. Je yanga hizi mechi mbili walizocheza wamefunga goli 8 au kumi Hadi mseme mnatisha?? Au Ile flook ya dabi ndio inawapa kichwa kusahau uharo wenu??
5. Kuna mijinga, na nimshabiki pori inasema et sis tunacheza kwenye uwanja mbovu, je vibonde wa Uganda vipers mlicheza nao mkiwa uwanja wa manungu?
6. Utasikia tuna Aziz k , sawa ni mchezaji mzuri Sana ,, lakin je ni mzuri kias hicho mnavyotuaminisha had Kuna mipupu inadiriki had kumlinganisha na Chama ambaye mwenzake Kila mechi unaona impact yake??
7. Unaponda usajiri wa Simba , je bigirimana , kambole ,lomalisa ndio usajiri Bora??
Sikilizeni nyie
1. Kimataifa mtamtoa zalan fc tu,, Hawa nao kutokana na Hali yao tu na sivinginevyo kwann ansema mnayoyafanya ligi ya ndani hamwez kuyafanya kimataifa hamna njaa kule babu!! Au huwez kwenda kuchumbua uwanja wa watu wakawaacha hiv hiv
2. Had mhandisi anamaliza Muda wake hata makundi tu ya Caf hamgusi, labda majianti yaweke nguvu kwenye Africa super Caf
Huwezi kuitwa Kinyesi na ukawa na Akili sawa sawa!Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app