Yaaan ukiangalia comments za Wana utopolo juu ya Simba binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali yafatayo
1. Tangu Lin adui yako akushauri vitu vya kujenga?
2. Je timu yao inatandaza soka la kutisha Sana kias kwamba Wana haki ya kushauri kwa jilani wakaacha yao??
3. Kweli yanga wanakikosi Bora mno mwaka huu?? , kinatofauti gani na kikosi Cha msimu huu??
4. Je yanga hizi mechi mbili walizocheza wamefunga goli 8 au kumi Hadi mseme mnatisha?? Au Ile flook ya dabi ndio inawapa kichwa kusahau uharo wenu??
5. Kuna mijinga, na nimshabiki pori inasema et sis tunacheza kwenye uwanja mbovu, je vibonde wa Uganda vipers mlicheza nao mkiwa uwanja wa manungu?
6. Utasikia tuna Aziz k , sawa ni mchezaji mzuri Sana ,, lakin je ni mzuri kias hicho mnavyotuaminisha had Kuna mipupu inadiriki had kumlinganisha na Chama ambaye mwenzake Kila mechi unaona impact yake??
7. Unaponda usajiri wa Simba , je bigirimana , kambole ,lomalisa ndio usajiri Bora??
Sikilizeni nyie
1. Kimataifa mtamtoa zalan fc tu,, Hawa nao kutokana na Hali yao tu na sivinginevyo kwann ansema mnayoyafanya ligi ya ndani hamwez kuyafanya kimataifa hamna njaa kule babu!! Au huwez kwenda kuchumbua uwanja wa watu wakawaacha hiv hiv
2. Had mhandisi anamaliza Muda wake hata makundi tu ya Caf hamgusi, labda majianti yaweke nguvu kwenye Africa super Caf