Tuweke Ushabiki Pembeni Simba Mnaionaje timu Yenu?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Morrison kacheza na miq[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.
 
Yaaan ukiangalia comments za Wana utopolo juu ya Simba binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali yafatayo

1. Tangu Lin adui yako akushauri vitu vya kujenga?

2. Je timu yao inatandaza soka la kutisha Sana kias kwamba Wana haki ya kushauri kwa jilani wakaacha yao??

3. Kweli yanga wanakikosi Bora mno mwaka huu?? , kinatofauti gani na kikosi Cha msimu huu??

4. Je yanga hizi mechi mbili walizocheza wamefunga goli 8 au kumi Hadi mseme mnatisha?? Au Ile flook ya dabi ndio inawapa kichwa kusahau uharo wenu??

5. Kuna mijinga, na nimshabiki pori inasema et sis tunacheza kwenye uwanja mbovu, je vibonde wa Uganda vipers mlicheza nao mkiwa uwanja wa manungu?

6. Utasikia tuna Aziz k , sawa ni mchezaji mzuri Sana ,, lakin je ni mzuri kias hicho mnavyotuaminisha had Kuna mipupu inadiriki had kumlinganisha na Chama ambaye mwenzake Kila mechi unaona impact yake??

7. Unaponda usajiri wa Simba , je bigirimana , kambole ,lomalisa ndio usajiri Bora??

Sikilizeni nyie

1. Kimataifa mtamtoa zalan fc tu,, Hawa nao kutokana na Hali yao tu na sivinginevyo kwann ansema mnayoyafanya ligi ya ndani hamwez kuyafanya kimataifa hamna njaa kule babu!! Au huwez kwenda kuchumbua uwanja wa watu wakawaacha hiv hiv

2. Had mhandisi anamaliza Muda wake hata makundi tu ya Caf hamgusi, labda majianti yaweke nguvu kwenye Africa super Caf
 
Bado kuna kitu akipo sawa,hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda mwingi,mipira ikifika kati bado wachezaji wanakaa sana na mipira,Banda anajitahidi sana kupiga pasi mpenyezo.
wanakosa sana magoli ya wazi,mechi ya jana na Kagera walikua washinde hata goli tano.
 
Uto bhana yaani kipindi hicho cha akina Miquissone mlikuwa mnasema Simba inapuliza sumu vyumbani Kwa wapinzani hivyo haina ukali wowote.

Leo hii mnasema ile Simba ilikuwa Kali. Kiufupi ni kwamba kinachosemwa na mwana uto Kwa tukio la sasa husikiamini subiria miaka kadhaa akili ikimjia na hapa ndio uthibitisho wa kauli ya Manara unatimia.
 
Ndio wamecheza pamoja.
Ila Morison always akiwa Simba Alikuwa anaanzia benchi.

Dilunga ndio Alikuwa anampiga benchi morison
 
Uto bhana yaani kipindi hicho cha akina Miquissone mlikuwa mnasema Simba inapuliza sumu vyumbani Kwa wapinzani hivyo haina ukali wowote.

Leo hii mnasema ile Simba ilikuwa Kali. Kiufupi ni kwamba kinachosemwa na mwana uto Kwa tukio la sasa husikiamini subiria miaka kadhaa akili ikimjia na hapa ndio uthibitisho wa kauli ya Manara unatimia.
Manala alimaliza mkuu. Kule wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na Mzee Manara.
 
Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Utopolo Mtupu.
 
Jibu hoja mkuu au bado upo kwa shemeji unakamua chai
Hayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.
 
Bado kuna kitu akipo sawa,hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda mwingi,mipira ikifika kati bado wachezaji wanakaa sana na mipira,Banda anajitahidi sana kupiga pasi mpenyezo.
wanakosa sana magoli ya wazi,mechi ya jana na Kagera walikua washinde hata goli tano.
Hiyo ndio falsafa ya simba sio kama yanga mbiombio kuchoshana tu,simba inacheza draft inasaka mwizi kimya kimya
 
Simba hii ya ku ungaunga ni kama Yanga yetu ya akina Saprong na Ykpe tunaongoza ligi lakini tunajua timu hatuna [emoji3][emoji3][emoji2]
Chini ya Hersi Said, Simba vikombe msahau.
Mbaka mtakapo piga magoti na kutubu kwanini mli mhujumu Manji kupitia Makonda
 
Hayakuhusu. Unazidi kudhihirisha kuwa huko Yanga idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana. Idadi ya hizi nyuzi zenu za kipuuzi inadhihirisha ukweli huu.
Hayanihusu vipi?wewe ni jirani yangu tena mtani
Twanga epeta waliimba upatwapo na shida kubwa usiku wa manane jirani yako ndiye wa kwanza kukusaidia,hata ktk vitabu vya mungu ametuasa,mpende jirani yako kama unavyojipenda.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yaaan ukiangalia comments za Wana utopolo juu ya Simba binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali yafatayo

1. Tangu Lin adui yako akushauri vitu vya kujenga?

2. Je timu yao inatandaza soka la kutisha Sana kias kwamba Wana haki ya kushauri kwa jilani wakaacha yao??

3. Kweli yanga wanakikosi Bora mno mwaka huu?? , kinatofauti gani na kikosi Cha msimu huu??

4. Je yanga hizi mechi mbili walizocheza wamefunga goli 8 au kumi Hadi mseme mnatisha?? Au Ile flook ya dabi ndio inawapa kichwa kusahau uharo wenu??

5. Kuna mijinga, na nimshabiki pori inasema et sis tunacheza kwenye uwanja mbovu, je vibonde wa Uganda vipers mlicheza nao mkiwa uwanja wa manungu?

6. Utasikia tuna Aziz k , sawa ni mchezaji mzuri Sana ,, lakin je ni mzuri kias hicho mnavyotuaminisha had Kuna mipupu inadiriki had kumlinganisha na Chama ambaye mwenzake Kila mechi unaona impact yake??

7. Unaponda usajiri wa Simba , je bigirimana , kambole ,lomalisa ndio usajiri Bora??

Sikilizeni nyie

1. Kimataifa mtamtoa zalan fc tu,, Hawa nao kutokana na Hali yao tu na sivinginevyo kwann ansema mnayoyafanya ligi ya ndani hamwez kuyafanya kimataifa hamna njaa kule babu!! Au huwez kwenda kuchumbua uwanja wa watu wakawaacha hiv hiv

2. Had mhandisi anamaliza Muda wake hata makundi tu ya Caf hamgusi, labda majianti yaweke nguvu kwenye Africa super Caf
Simba ya msimu uliopita na msimu huu ni mbovu hilo halina ubishi.

Kuweka hizo namba namba ndo umerahisisha kudhihirisha ujinga wa kuaminishwa na ushindi wa mbinde nyumbani.

Sio mda mrefu mtaanza kulalama humu.

Ni wazi simba bado haina muunganiko mzuri tofauti kabisa na yanga, anaebisha hili ni shabiki maandazi.
 
Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi hiki kimataifa hawa wenzetu wanaendaje,mechi ya pili kwenye ligi wameonyesha kustruggle sana kupata point 6...
Tuwaulize wana simba au nyie mnaionaje timu yenu?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huwezi kuitwa Kinyesi na ukawa na Akili sawa sawa!
 
Back
Top Bottom